nauza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Toyota vitz new model 2008

    SOLD BY THE OWNER TOYOTA VITZ NEW MODEL-2008 Asking Price: TZS 8,500,000 Location: Dar es salaam, Tabata Low Mileage: 64,000KMs Number: T*** DNY Imported: Dec 2017 with 59,000 KMs, New Tires installed November 2019 No accident history, elegant and minty. All documents available. Economy...
  3. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Infinix hot 8

    Simu ishauzwa. Nashukuruni sana.
  4. JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba

    Hi
  5. JamiiForums Tanzania Nauza XBox One, nipo Arusha

    Natafuta mteja wa kumuuliza Xbox One, nipo Arusha . Ina memory ya 500gb pia ina inakuja na pads zake mbili na games tatu. Bei ni 550,000 ila inapungua kdg. Kwa maelezo zaidi njoo PM.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natengeneza na kuuza chakula cha Samaki

    Habari wadau wa JF, Karibuni mjipatie chakula cha samaki chenye virutubisho vya kutosha. Simu: 0767900396 au 0782391954. KARIBUNI sana.
  7. JamiiForums Tanzania Nauza mapapai ya kisasa mbegu ya Carina na Malkia

    wana JF naitw john napatikana Kibaha pwani nauza Mapapai ya kisasa makubwa kwa madogo karibuni sana kwa mawasiliano 0686301689 pamoja sana bei za shamba
  8. JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 8, 256 GB 950k

    Sold
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro super banco 6*6 inch 6

    Godoro ni super banco limetumika miezi 7 ni kama jipya. Linapatikana Mwanza kirumba Mawasiliano: 0745352352 Bei: 150,000 tzs
  10. JamiiForums Tanzania Nauza nano liquid screen protector

    Nauza nano liquid screen protector Bei: 200,000 Mahali ilipo: Ubungo/Kibo (dar es salam) Accesories zake ndani kuna: 1. Power bank 2. Liquid zenyewe vipo vichupa 6 (bei ya kimoja kikiisha ni 50,000) 3. Wipes 4. Gloves. 5. Taa mbili (USB lights) Hizi mashine zipo ndani ya Brief case kwa ndani...
  11. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop aina ya HP 6735 sh 210,000

    processor AMD turion(tm)X2 Dual core mobile RM-70 2.00GHz RAM 1 GB HARD DISK DRIVE 250GB INAPATIKANA MBEZI LUIS, DAR ES SALAAM BEI 210,000 TSH
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Vioo vya laptop (2) vizima kabisaa pamoja na keyboard ya dell inspiron 15

    Je una laptop iliyovunjika kioo Nina laptop mbili za Dell inspiron 15 Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee. Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6) bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia pia nina keyboard nzimaaa Keyboard nauza 40,000...
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dodoma Nala-Lugala

    Kiwanja kimepimwa..ni kwaajili ya shule (nursery) kina ukubwa wa square meter 2786. Bei ni 6000@square meter 1 (maongezi yapo) kwa yoyote alokua interested anicheki watsap no 0755322896
  14. JamiiForums Tanzania Nauza kingamuzi cha dstv

    Kipo DSM Kina HDMI Tsh 50000 0693179844
  15. JamiiForums Tanzania Nauza dagaa wa Mwanza

    Heri ya mwaka mpya. Ninauza dagaa wa Mwanza, ukitaka kuwa wakala nicheki tufanye biashara kwa bei nzuri sana na wale wanaoagiza gunia chache chek na mimi Natuma mikoa yote Tanzania Dagaa hawana mchanga kabisa, wapyaa. Mawasiliano: 0688 590080 Airtel 0626 740265 Halotel
  16. JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa mayai (layers)

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU: Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi. LOCATION: DODOMA
  17. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja

    Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji yanayotuama. Ukubwa wa Kiwanja ni Sqrms 576. Atakaekuwa anahitaji tuwasiliane kwa namba 0713851751, Bei...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza mashuka ya cotoon

    Nauza I ya cotton yapo mawili na foronya mbili bei ni elfu ishirini yu
  19. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Adsense

    Nauza Adsense pamoja na website yake ina $17 nicheki whatsapp +255765505717 bei tunaelewana
  20. JamiiForums Tanzania nauza laptop mpya aina ya dell latitude

    Nauza laptop aina ya dell Inter core i3 RAM GB 4 Internal storage GB 300 Generation ya 3 Charge masaa 4 Bei 350,000 Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…