nauza

  1. INAUZWA Nauza pikipiki iliyotumika

    Habari Jf. Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used. Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae. Kuna san lg, fekon, boxer tvs Napatikana Dar es salaam. Mawasiliano yangu ni 0744033555 nitafute any time...
  2. J

    INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa. Vifaa vilivyopo 1. Haemoglobin Tester 2. Microscope 3. Urine analyzer Machine...
  3. K

    House4Sale Nauza Boma langu lililojengwa kwenye kiwanja, ukubwa wa zaidi robo eka

    Salam kwenu wakuu. Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida -2 Sitting room Dinning room Kitchen na store yake. Public toilet. Maji ya bomba yapo hapo hapo,bomba limepita mbele ya Kiwanja. Kumezungukwa na...
  4. K

    Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

    Salam kwenu wakuu. UPDATES; Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!! Mbarikiwe!! Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida...
  5. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

    Habari wadau! Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja. 1.UKUBWA hatua 70 kwa 70 2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka 3.DOCUMENTS Hati za serekali...
  6. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  7. D

    Nauza fridge

    Ni ZEC ina freezer pia Inagandisha vizuri sana nauza kwakuwa nimenunua kubwa sasa Bei 150k Iko dodoma 0715140001
  8. T

    Nauza vitanda na bed side zake....Bei nafuu

    Habar, tunauza vitanda na bedside zake kwa kila kitanda ......ni vitanda vilivyotumia mbao ngumu. Bei: 380000 - 350000 kwa kila kimmoja wapi : kawe ukwamani. Simu : 0757994417 au 0625 959542. Usafiri: utajitegemea Je naweza kuwekeza? Ndio unaweza kuwekeza kidogo kidogo mpaka unamaliza deni. Je...
  9. Car4Sale Nauza hii kwa ambao mnatafta usafiri

    Gari ni mpya Plate no. imetoka jana. SPECIFICATIONS: Make: Toyota Model: RunX Body Style: Hatchback Color: Sky Blue Odometer: 58,000km Transmission: Auto Bei ni 12.5m subjected to Negotiations.
  10. C

    Nauza tairi used BMW

    Leo nabadilisha tairi za gari yangu BMW 3-series E90. Nauza tairi ilizokuja nazo toka Singapore mwezi huu. Tairi bado zina tread nzuri. Size ni 225 45R17 Continental ContiSport run-flat. Bei elfu 50 kila tairi mazungumzo yapo. 0759970963
  11. Nauza Monitized YouTube Channel ina 31K subscribers

    BEI NI LAKI 8 INA MATANGAZO KWA MAWASILIANO NICHEKI NAMBA 0772786405
  12. Nauza camera Canon 4000d EOS

    Wadau nauza camera Canon 4000d EoS Ina lens tatu ambazo 18-55mm,55-250 mm na professional digital lens Ina adapter ya 64 gb Type of product DSLR Pamoja na charge yake. Bei ni 650k Kama upo Interested nicheki WhatsApp +255745588735
  13. Nauza vitunguu Maji, Shamba lipo Arusha 17km kutoka Arusha Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393

    Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393
  14. Nauza Toyota Cami wadau gari iko vizuri changamoto gia Box na inapaki muda mwingi kwakuwa Nipo nje ya mkoa njoo na offer yako au nicheki pm

    nauza Toyota cami iko vizuri sana ila changamoto gia Box gari ipo sawa sana kwakuwa kabla tatizo gari aina safari sana mara nyingi inapaki mimi naishi mkoani gari ipo dsm kama upo interested nicheki pm nipe offer yako ukamiliki gari
  15. M

    Nauza mtungi wa gas

    Nipe 50000 nikuachie mtungi na pipe Mahali: Kahama 0755868463
  16. Plot4Rent Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

    Shamba hili lipo maeneo ya Mkuranga kikungo sehemu panaitwa Kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda). Lina heka 4 zinapelea kidogo. Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k. Shamba...
  17. M

    Nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao ipo Magomeni Mwembechai lida brand kutoka China, inch 12

    Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...
  18. Nauza monitor studio spkeaker

    KRK NCH 8 M8 LOCATION: NZEGA TSH:750,000/= 0620307124 sms only 0685825715 whatsap
  19. K

    Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
  20. Nauza vioo viwili vyenye ukubwa wa futi 6 urefu na mapana 4 vimezungushwa aluminium vyote viwili 160000 pia meza ya saloon ya aluminium ina box

    Meza ya saloon ya aluminiam ina box moja 50000 Vioo viwili ukubwa futi 6kwa futi 4 upana 160000VIMEZUNGUSHWA aluminium mlango mkubwa wa flem wa aluminium futi 7kwa 6 300000 nipo buza temeke 0620742868
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…