nauza

  1. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vifaranga vya Bukin, Mallard, Jumbo Perkins, Khaki Campbell, Indian Runner na Ruen

    Kwa mahitaji ya bata na vifaranga vya bata bukin Mallard Jumbo perkin Khaki Campbell Indian runner Ruen Wanapatikana CHANIKA KWA SINGA, ILALA DAR ES SALAM Call: 0746 696878 Instagram: ILUNDA FARM FACEBOOK: MABATA DAR
  3. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza hii simu

    Nauza simu bei poa Nimu ni Nokia original Model 1280 Nataka tsh 25000/= 0679 100 690
  4. JamiiForums Tanzania Nauza Camera, Fujifilm Xt4, with 18-55mm, 50-140mm f2.8, vyote 5M

    Camera iko katika hali Nzuri, imetumiaka wiki mbili tu kwenye Project. Niliagiza kwa ajili ya project, now nimemaliza. Ni camera nzuri sana hasa kwa Advanced Cinematographers & Photographers. Nilinunua 9.5M, Nauza almost Half a price PRICE 5,000,000 Effective: 26.1 Megapixel (6240 x 4160)...
  5. JamiiForums Tanzania Nauza harrier new model

    Harrier new model DMW CC 2360 Mwaka 2004 Km 89,000 Bei 21 ml Full option full body kity Iko buza 0628729873
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vifaa vya Saluni

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliejiajiri na sasa nimepata fursa kubwa zaidi hivyo nauza vifaa vya saloon hivyo kwa anaehitaji chap anipigie kwa +255625981281 *Machine *Kiti *Vioo kidogo viwili *Kipo kikubwa kimoja JUMLA NAUZA Tsh 450,000/=
  7. JamiiForums Tanzania Nauza nyumba Kivule kwa wamakonde kwa Tshs. 22,000,000

    Habari wana JF Nauza nyumba yangu kwa 22mil kwenye eneo lenye ukubwa wa sq 500 imepauliwa na bati la msauzi mgongo mpana ila sijaendelea na chochote baada ya hapo... Ila ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala kimoja masta, sebule, dining, public toilet,bafu na jiko. Umeme na maji vyote vipo jirani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki used TVS 125 Gia 4 Kwa 1.3m

    TVS hio. Cc 125 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.3mil. Iko Nyakato Mwanza Piga 0623865841 tuongee biashara.
  9. JamiiForums Tanzania Nauza maziwa mgando lita moja Tsh1,500/= mkoa wa Kagera

    Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni mkoa wa Kagera. Kama upo mkoa tofauti na mkoa wa Kagera itakupasa kulipia gharama za usafirishaji...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Wahi mapema, nauza Kiwanja changu SQM.723-Oysterbay-Dodoma!

    Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri kwa makazi na biashara pia kinafaa kujenga lodge/guest house na kimezungushiwa msingi wa fensi...
  11. JamiiForums Tanzania Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

    Nauza paka/nyau. Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus. Location: Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala) Mawasiliano: 0718 727210 (Whatsapp/SMS) Bei: 540,000/= kwa paka mmoja. Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/= Picha: Anajificha nisimpige picha Anapiga...
  12. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza infinix HOT 10i 215,000

    Simu hiyo wazee haina kasoro wala mkwaruzo Ina GB 64 3--6GB RAM 720×1600 pixels 13 MP (1440p) Betri 6000mAh, inakaa na chaji muda mrefu mno 6.52
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku aina ya sasso

    Habari wakuu. Kuku wapo Kahama wana miezi 4 na wiki moja. Idadi wapo 150. Bei 12000, maelewano yapo. Simu 0755868463. Karibuni.
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza biashara ya chips

    Biashara ya chips inauzwa ipo Yombo kituo chama, sehemu ya biashara ipo barabaran kabisa, kuna kila kitu kinachohitajika kwny biashara ya chips , na kod bado ipo miezi 4 ukifika ww nikuanza kazi bei 2.7M Call +255 759 444 402
  15. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba yangu Kivule Kwa Wamakonde 22 mil

    Habari wana JF, Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi. Kwa walio serious karibuni..22mil Mawasiliano 0767940945 Asanteni..
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA MWANZA: Nauza Bajaj kwa bei ndogo

    NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076 Nauza bajaj za kila aina!! Bei nzuri tu kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho. zote ziko vijiweni zinafanya kazi MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Maharage: Nipo Arusha

    Heshima Kwenu Wakuu Nina maharage gunia 20, nipo hapa Arusha natafuta mnunuzi. Haya maharage niliyalima mwaka jana hapa hapa Arusha. Maharage yanaitwa "ngaraisee." Kama utahitaji au unajua anayehitaji tafadhali nipigie kupitia 0764-653-982 Shukrani
  18. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza desktop ya dell

    Nauza destop Aina ya dell Bei 160,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali:Imetumika Mahali:Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0717265343 Karibu.
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza external hard disc 2TB nikuze mtaji wa biashara

    Wapendwa. Siko hapa kwa ajili ya ku expose shida zangu, ila naomba msaada kwenu ndugu zangu. Ninauza hard disk ya 2TB ninahitaji sh. 200,000/- tu ili nilipie fremu ya biashara. Kudanga siwezi, wala sio hulka yangu, ndio nimeingia rasmi kwenye ujasiriamali. Call +255 755 233 968
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…