Nauza nyumba Kivule kwa wamakonde kwa Tshs. 22,000,000

Nyam

Senior Member
Jul 9, 2012
134
72
Habari wana JF

Nauza nyumba yangu kwa 22mil kwenye eneo lenye ukubwa wa sq 500 imepauliwa na bati la msauzi mgongo mpana ila sijaendelea na chochote baada ya hapo... Ila ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala kimoja masta, sebule, dining, public toilet,bafu na jiko.

Umeme na maji vyote vipo jirani, umbali kutoka barabarani mpaka nyumba ilipo ni pa kutembea kwa dakika 5 tu.

Aliye serious tuwasiliane 0767940945
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom