nauza

  1. JamiiForums Tanzania Nauza Samsung A72 inauzwa

    SAMSUNG A72 📱 Storage 128 GB|8GB ⚙️ Dual sim ✅ Battery 5000mAh Display 6.7” Black ⚫️ Tsh 850,000/= From Muscat Oman Inamiezi 6 tu . Haiba shida yoyote 0715160365 📞
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nauza bata wa kienyeji kwa bei nafuu

    Rejea mada hapo juu, Nina bata wa kienyeji kwa ajili ya mboga na kufuga kama unaitaji nidm bei ya kitanzania kabisa Dume Uzito kg 4 - 5 Ana mwaka mmoja na miezi 6 Bei 30,000 Majike Wanaotaga wako 2 Bei 15,000@1 Mwenye watoto yuko 1 Bei 20,000 Pia kuna makinda wako 5 Bei 10,000@1 Pia kama...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mbweni Mwisho

    Habarini wadau, nauza kiwanja kipo Kata ya MAPINGA kijiji cha KIHARAKA mtaa wa SOWETO karibu na kambi ya jeshi MBWENI, huduma za kijamii zote zipo na kimeshapimwa tayar, Ukubwa 25x25..dk10 kutoka Bagamoyo rod bei ni ml9...hakina udalali.. kwa mawasiliano 0672875803
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza nazi

    Mabibi na mabwana, nina nazi nauza ndugu zangu, kwa oda zimebaki chache, aseme mtu alipo nitamletea, Wahi kabla hazijaisha, ila hizi zikiisha naweza pia kukuchukulia kwenye mashamba ya jirani kwa oda maalum, mzigo upo njiani unakuja dsm kigamboni, unatokea mkuranga, hivyo watu wa maeneo haya...
  5. JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza ghorofa na pamoja na nyumba ya chini zote kwa bei moja

    Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet. Plot size Sqm 750 Clean title deed (HATI MILIKI IPO) BEI MILIONI 500 (500,000,000) Mawasilinao 0782 780980
  6. JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

    Aim: Nauza Bata Specie: Bukini Serbié wakubwa idadi: Wawili (dume na jike) Price: Dume (TZS 330,000) na Jike (TZS 300,000) Combined Price: Ukichukua wote nakuuzia kwa 600,000/=. Location: Makongo Juu, DAR. Mawasiliano: 0718 102033 Nota bene: Huyu Jike anataga, as of today anaatamia mayai kumi...
  7. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Quality SIMU kwa bei nzuri

    Tuanze na IPHONE 7 32 GB USED BEI : SOLD SOLD LOCATION : DAR ES SALAAM CONTACT : 0764081567 - Call and Whatsapp
  8. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Kibamba shule

    Nauza kiwanja Kibamba shule, karibu na Hondogo sekondari ukubwa wa eneo 35m x 15m liko vizuri sana bei 10,000,000 mawasiliano 0787503677 or 0656403680
  9. JamiiForums Tanzania Nauza laini za Uwakala wa mitandao yote

    Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani. Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa. Bei maelewano...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza nyama ya ng'ombe kwa kupokea oda kuanzia kilo 10

    Habari wakuu Kwa wakazi wa DAR ES SALAAM. Nauza nyama ya ng'ombe kwa kupokea oda kuanzia kilo 10. Delivery free mpaka kwa mteja. Malipo. mpaka mzigo unapofika kwa mteja Bei ni 7000 kwa kilo Taasisi kama shule, migahawa, hoteli na kwa mahitaji ya nyumbani karibuni tufanye kazi Napatikana...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nauza Vitu Vifuatavyo

    Habari wakuu nahama nauza vifuatavyo Godoro inch 8 bei 140,000/- Jiko dogo la gesi ( linagesi ilijazwa wiki moja iliyopita) 25,000/- Feni 60Watts bei 25,000/- Tray ya vyombo ngazi nne bei 10,000/- Vikontena vipo vinne 10,000/- Ndoo 2 na beseni vyote 6,000/- Vifaa vya usafi vyote bei 6,000/-...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza gitaa

    ASANTENI!! GUITAR LIMEUZWA TAYARI.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kabati la vyombo na friji dogo

    Salaam kwa wote. Nauza kabati kubwa la vyombo (kama linayoonekana pichani). Bei ni shilingi 350,000/. Kabati limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri sana. Pia nauza friji ndogo (kama inavyoonekana pichani). Bei ni sh. 195,000/. Friji limetumika lakini linafanya kazi vizuri sana. Vitu vyote...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza picha za kwenye frame na picha mbao

    TUMA PICHA KWA NAMBA ZETU 0683557564 UKITUMA LEO UNAPATA LEO. TUNAPATIKANA KIMARA KOROGWE DSM SIZE : A4 -15,000 SIZE : A3 -25,000 SIZE : A2 -40,000 SIZE : A1 -65,000
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Player ina tumia santuri zote aina tatu

    Nauza player ya santuri bei laki moja tasilimu Ina bluetooth Ina play 45, 33 na 78 Portable and easy to carry
  16. JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza casterboard, sio skateboard

    Nauza Caster Board, kwa shilling elfu 50. Ni used ya mtumba napatikana Dar. Kwa mawasiliano piga 0714829688. .
  17. JamiiForums Tanzania Nauza : Canon Pixma MX410

    Nauza kwa matumizi ya kiofisi Canon Pixma MX410 Sifa zake someni online na kama una maswali wajuzi watayajibu hapa Inauzwa 200,000/- kama unahitaji mawasiliano ni 0714829688. .
  18. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza ps4, ina pad 2 na fifa 22

    ps4 controller mbili fifa 22 inside 670k(pungufu kidogo ipo) 0752527054 or 0629274880
  19. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP Pavilion Gaming Laptop bei nafuu

    interact with your PC.Video graphics: NVIDIA GeForce GTX 1050 (2 GB GDDR5 dedicated); Turn your laptop into a creative powerhouse for visually demanding apps. NVIDIA Pascal and Game Ready technologies drive the latest games in their full glory.Display: 15.6-inch diagonal Full HD (1920x1080) IPS...
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Graphic card nauza 400k pia nafanya exchange na simu na pesa

    Graphic card: amd radeon rx 470 4GB Wale wapenzi wa games 3d & graphics basi hii kitu ni mwisho wa matatizo yako Bei 400000/= Karibu whatsapp number 0759377457 tembelea hapa kupata specification zake https://www.amd.com/en/products/graphics/radeon-rx-470
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…