nauza

  1. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji kwa Bei chee

    Bajaji inauzwa TVS used bei 3,200,000. Inapatikana Gongo la mboto, Dar es salaam. Karibu uhudumiwe, simu 0755 233233.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nauza rice thresher machine ziko Dodoma

    Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti ,Mpunga, Mtama na Uwele mashine mpya inapatikana kwa tsh 7.5M badala 9.5M na used iliyotumika mwaka mmoja...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya chips

    Wana JF nauza hivo Vifaa; -Kabati kubwa ngazi tatu -Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa -Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida -Jiko la mishikaki -Meza ya kuweka Kabati -Makalai mawili ya viazi na kuku - Flampeni 2 -Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa Bei 380K vyote..... Eneo lipo...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza feni Aina ya Ailyons

    Nauza feni yangu tsh 35,000 Aina ya Ailyons haina shida yoyote nipo Dar-es-salaam . Namba za Mawasiliano yangu ni 0657438581 0657438581
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Camera Lumix S5 kwa bei nafuu

    Nauza Camera yangu aina ya lumix s5. Niliinunua ikiwa mpya na nimeitumia kwa muda wa mwaka mmoja. Haina tatizo lolote na iko kwenye hali safi sana. Ni nzuri sana kwa ajili ya kufanyia video production. Specs: Brand: Panasonic Lumix Model: Lumix S5 Sensor: 24MP Full Frame 6K CMOS sensor Video...
  7. JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung Note 10+

    Samsung Note 10+ inauzwa bei rahisi RAM 12 ROM 256GB @450,000/= [negotiable] ☎️ +255676721372 Dar es Salaam 📍
  8. JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  9. JamiiForums Tanzania Mikoba mizuri ya kuwekea documents na laptop

    Nauza mkoba wa kuwekea documents na laptop. Umetemgenezwa na material safi na ndani una sponji nyepesi ambayo haivunji PC Yako na haiingizi maji kabisa. Bei ni 40000tshs Nipo Dar derivery ipo ndani ya Dar na mikoani na nchi jirani ninatuma kwa uaminifu mkubwa Mawasiliano :0628935034
  10. JamiiForums Tanzania Nauza Bedside bei poa

    Bedside size 4×6 Rangi zilizopo ni kijivu, ugoro, pink, nyeupe, samawati. Bei 35000 Material ni zuri sana, Kutoka Thailand na Uturuki Mawasiliano 0628935034
  11. J

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptop HP Pavilion x360

    Habari wakuu Nauza HP Pavilion x360 touch screen RAM: 8GB Hard Disk: 500 GB SATA Graphics card: Intel with Radeon Changamoto: Haikai na chaji, yaani ni direct ila inalekebishika Ina mpasuko kidogo pembeni kama picha Inavyo onesha. Bei laki 4 na elfu 50 Mawasiliano 0620306221 WhatsApp+255...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Incubator mashine ya mayai 2000

    Mashine ipo vizuri na inapiga kazi vizuri nipo Uyole Mbeya Inatumia gesi Bei ni Milioni 1.5 0767750426
  13. JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza StarTimes, 4K Smart TV inch 55''

    AINA YA TV: StarTimes MODEL: Smart TV UPANA: inch 55'' Resolution (Ubora wa picha): 4K Bei: Milioni moja na laki moja (1,100,000/- TZS) Mahali: Kimara, Dar es salaam Kama unaihitaji TV hii tuwasiliane: 0755038159 NB: Haina tatizo lolote
  14. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

    Habari wakuu. Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C. Engine: cc1490 Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo - Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla...
  15. JamiiForums Tanzania Nauza bata mzinga

    Habarini za muda huu wana jukwaa, mm ni mfugaji mdogo nikiwa najihusisha na ufugaji wa kuku pamoja na bata mzinga ila nimepata changamoto kidogo ya soko la bata mzinga ndio nikaona ni wakati sahihi wa mimi kuja kwenye jukwaa hili kutafuta mtu yoyote atakae hitaji kununua bata hawa, ninao madume...
  16. JamiiForums Tanzania Nauza iphone 7 plain used ,Dodoma

    Habarini za muda huu wana jukwaa, nauza iphone 7 plain kwa bei ambayo ipo in mint(excellent) conditions kabsa na ina sifa zifuatazo: Iphone 7 plain 32 Gb Ram 4 Battery 100% 280k price, fixed...mawasiliano ni haya 0621599120
  17. G

    JamiiForums Tanzania Nauza Camera 📷 (Sony DSCW810B) kwa TZS 350,000

    Nauza hii Camera 📷 kwa bei tajwa hapo juu. Ipo pamoja na cover, memory card (8GB) na adapter yake. Niliinunua Thailand baada ya simu yangu kupotea wakati nikiwa nahitaji picha muhimu za matukio nikiwa kule. Bado ni mpya kabisa. Napatikana kinondoni studio. Simu 0765137266 Picha na...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
  19. JamiiForums Tanzania nauza fridge lita 109 futi 4

    habari nauza fridge lita 109 bado mpyaa imetumika kidogo haimjui fundi hautajutia inapatikana manzese dar es salaam fridge sio kubwa sana ni futi 4 urefu bei 350000 sold sold sold sold
  20. JamiiForums Tanzania Nauza playstation 3

    Wadau. Nimebaki na kichwa tu cha Mini playstation 3 bila pad, ina cable ya HDMI na ya kuchaji pad tu. ni used in best condition300,000 tu. Karibuni sana. 0783985530.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…