nauza

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza TV, PS4 na steering wheel yake

    Habarini za jioni! Kama kichwa kinavyojieleza. Miezi sita ilopita nilitamani kufungua kijiwe cha games za Ps na kwa bahati nilifanikiwa kununua baadhi ya vitu lakini baada ya kupata kibarua mbali na eneo nililotaka kufungua hiyo ofisi nimeona bora niviuze kuliko kumwachia mtu anitunzie. 1...
  2. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza PC Kalii bado mpya

    Ssd 239 Ram 8 Touch screen Core i5 gen 7 Bei 500k njoo tuzungumze 0753865861
  3. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu, Mapinga karibu na Eplas

    NAUZA KIWANJA CHANGU 📍Site located at Amani Mapinga Near EPLAS RECREATION 🧵Umbali: 👉 5 km kutoka Bunju 👉1.8 km kutoka Bagamoyo Road 👉2 km kutoka Baharini.(PLOT NEAR BEACH) • Kiwanja kinagusa barabara kubwa ya mtaa • Kiwanja kina nyumba ndogo ndani yake yenye vyumba viwili na sebule • Pia...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya Stationery

    Nauza vifaa vyangu vyote vya stationery, kuna; Canon IR2520 Tsh 700,000 Xerox workcentre 7535 Tsh 1m Epson L850 Tsh 900,000 PVC ID card cutter Lamination machine Spiral binding machine Carbon paper 1pkt @ Tsh 3000 Counter book 2Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book 3Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book...
  5. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptop Mac book Air ya 2017

    Habari..! Nauza Laptop, nimeitumia tu kama miezi 4, iko vizuri kama mpya tu. Bei ni 950,000. 0686279540 Dar es salaam. SOLD.
  6. JamiiForums Tanzania Canon 600D , lens 18-80mm pamoja na lens 75-300mm bei milion 1.5 nauza vyote kwa pamoja

    Sold- shukrani
  7. U

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge mpya aina ya westpoint inauzwa

    Fridge imetumika wiki 3. Inauzwa tsh.700,000/= Inagandisha, Inapoza na Ina water dispenser. Ipo Tegeta. Kwa mawasiliano 0753166010
  8. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh. 5M

    Nauza Printer 🖨 ya Epson L850 Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia Tsh 900,000 All in one printer Print,copy,scan Six color eco-tank Colored printer Quality 💯 Napatikana Dar, Mbweni WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
  9. E

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota vitz new model

    Nauza toyota vitz new model kalii mnoo🔥🔥🔥ipo Dar es salaam cc 1290,push to start bei 9m✅Karibuni
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nauza accesories zote kwa ajiri ya urembo kwa wanawake na wanaume

    Habari zenu mabibi na na mabwana! Sisi ni lj adornments store tunauza saa(kike & kiume),cheni(kike & kiume),bracelets(kike & kiume),hereni,smartwatch na vingine vingi. Bidhaa zetu zimezingatia sana ubora hazipauki,hazichuji na wala haziwashi na ni imara sana. Tunapatikana kigamboni na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Cisco catalyst switch model C9200L-24P-4G-E kwa milion 4 tu mzigo uko mchache wahi

    C9200L-24P-4G-E Cisco Catalyst 9200L 24-port PoE+ 4x1G uplink Switch, Network Essentials Layer 3 switch Mpya kwa 📦 box lake Mawasiliano 0717633724 kama unataka kununua
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Camera Nikon na kit yake

    Haya wale professional wa kupiga picha mzigo huu......jumla ni 1,500,000/= pamoja na usafiri juu yangu kukutumia popote But ukilipia 1,490,000/= utalipia delivery cost Camera Nikon D7100 body+charger - 900,000 Lens 70-300mm - 250,000 Bag - 50,000 Speedlight - 150,000 Stand+Camera handle -...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nauza Cisco switch model C1000-24FP-4G kwa 2.3Mil mpya kwa box

    24 ports full PoE 4uplink ni 1G SFP Mpya in a 📦 box hazijafunguliwa with full accessories Bei ni ya offer piga 0717633724 kwa mawasiliano na muuzaji
  14. JamiiForums Tanzania Nauza samsung S10 280k

    Ram ni 12 Storage ni 128GB Nipo iringa Nunueni wakuu vyuma vimeumana niko juu ya mawe
  15. JamiiForums Tanzania Nauza hii ShowCase

    Showcase ilo sokoni hii kwa wale wauza simu na bidhaa zake inawafaa zaidi au hata kama hufanyi hiyo biashara ila unaona inakufaa pia unakaribishwa.... Bei ni 235,000 Ipo Sinza madukani Mawasiliano 0718905208
  16. JamiiForums Tanzania Nauza ndoo kubwa za 20L, kwa bei ya 4000/=jumla.

    Tunapatikana mbezi mwisho. Contact us: 0624390721
  17. JamiiForums Tanzania Nauza heka 3 zipo Bagamoyo Mkenge

    Habari za muda huu, Nauza shamba heka 3 tu zipo Bagamoyo Mkenge. Ni kama 10km kutoka Bagamoyo road. Zote kwa pamoja ni 3.7m ni mali yangu haina dalali pia linatambulika na Serikali za kijiji. WhatsApp: 0715160365 Unaweza nipigia: 0698170582
  18. JamiiForums Tanzania Nauza fenicha za ofisini zilizotumika 800,000 maongezi yapo

    Habari za leo! Ninauza fenicha za ofisini zilizotumika zipo katika hali nzuri sana: 1. Meza kubwa moja (imported) 2. Kiti kimoja cha ngozi cha kuzunguka 3. Viti viwili vya wageni (nimenunua mwezi Januari,2024) Fenicha zote hizi nauza kwa pamoja kama zilivyo sh 800,000 maongezi yapo Zinapatikana...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza dagaa nyama, niko Tanga mjini. Bei ni Tsh. 7000 kwa kilo, maongezi yapo

    Habari karibuni sana, nauza dagaa nyama niko Tanga mjini 7000 kwa kilo moja maongezi yapo. Karibuni 0718755347.
  20. JamiiForums Tanzania Nauza subaru imprezza

    🔥🔥🚘🚘🚘 ON SALE (EEP) - SUBARU IMPREZA Price 14.5ML 0768160670 SUBARU IMPREZA ¥ KALI SANA Color 🖤 BLACK LOW MILEAGES Engine 1490 Low mileage New tyre Clean sana DAR ES SALAAM 0768160670 EXCHANGE ALLOWED
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…