nauza

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nauza majogoo chotara

    Wakuu Nina vijogoo vya kuku chotara naviuza nipo maeneo ya mbweni jkt karibuni sanaaa kwa mawasiliano 0612630936 bei n 15000
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Infinix hot 40 pro

    Nauza simu Aina Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
  3. Shanily

    JamiiForums Tanzania OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

    Jipatie shuka za kudarizi pamoja na foronya mbili kwa bei ya elfu Thelathini (30,000/=) Tu. Size ni 6×6. Delivery ni Bure kwa wakazi wa dar. Usikubali kupitwa na ofa hii ya January , hivyo nitafute kupitia 0628 160058 / 0658 843438. Karibuni sanaa.
  4. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Ongeza uwezo wa laptop nauza RAM za DDR4 8gb kwa 30,000 Tu

    Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
  5. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza bando za internet za Halotel kwa bei rafiki

    Habarini za muda huu wana jukwaa!?, mimi ni mjasiriamali mdogo ninae jihusisha na kuuza bando za halotel internet za mwezi mzima, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, 0621599120(whatsap only)…karibuni sana kwa huduma na mchanganuo wa bando hizo na gharama zake ni kama ifuatavyo!
  6. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv stend na coffee Table yake

    Jamani hii nilishaipost narudia tena sasahivi kwa kuweka gharama yake maana naona watu wengi walikuwa wanaongelea pesa ambazo sijaziandika, HIYO SET KWENYE PICHA NI STAND YA TV INA NA COFFEE TABLE YAKE, JAPO KIOO CHA COFEE TABLE KIMEPASUKA NI CHA KUBADILI, KWAHIVYO NAUZA ZOTE MBILI KWA 90,000...
  7. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes kwa bei nafuu

    Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake. Kimetumika miezi mitano peke yake Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya mkoani ya Magufuli Karibu upate kilicho bora Mawasiliano: 0767696021
  8. K

    JamiiForums Tanzania NAUZA EXTRNAL HARD DRIVE

    Habari ya siku watu wa jf, Nauza Extrnall transcend gb 1000 (1TB) 100,000/-95,000/ niko MASASI MJINI MTWARA 062721875:
  9. Yoso

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bata Mzinga na Kuku aina ya Brahma

    Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
  10. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Nauza Epson printer L3250 mpya

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 450,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  11. African businesses

    JamiiForums Tanzania LEO NAUZA HIKI KIFAA KWA BEI YA MWAKA MPYA

    Hiki kifaa kinaitwa ID-WTM6 TRIMMER, KAZI YAKE NI PAMOJA NA KUTENGENEZA MAPAMBO KWENYE MBAO NA NAKISHI, NI KIZURI SANA KWA WATENGEZA FURNITURE LEO NA KIUZA KWA BEI NDOGO SANA 120000 TU. Namba 0617009453 DSM
  12. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja

    Kiwanja kipo kigamboni mwasonga tulivu kina ukubwa wa sqm 480 kipo mpaka mmoja na shule majira wawili watatu wapo kiwanja ni changu mwenyewe hakina dalali nina shida na ndio maana nauza Bei 3.2Milioni Maongezi kidogo yapo Cantact 0687536389
  13. Elma91

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Dodoma

    Habari, nauza kiwanja Dodoma kipo eneo la michese square meter 520, hati ipo,bei mil. 15 kwa maelezo zaidi nitafute.
  14. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Nauza photocopy machine xerox 7220 kama screpa bei 500k, mazungumzo yapo.

    Shida yake ni moto tu inajiwasha na kujizima. Muonekano wake ni kama hapo pichani.
  15. S

    JamiiForums Tanzania NAUZA VIFARANGA VYA KLOILA

    Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4 Bei:7500 Location Sae Mbeya, 0676692082 SIFA Wana stahimili magonjwa Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa tetea Wanaweza fugwa kienyeji hivyo hupunguza gharama za ufugaji Nyama na mayai ya kloila yana ladha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya Kloila

    Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4 Bei:7500 Location Sae Mbeya, 0676692082 SIFA Wana stahimili magonjwa Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa tetea Wanaweza fugwa kienyeji hivyo hupunguza gharama za ufugaji Nyama na mayai ya kloila yana ladha...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

    Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
  18. Chura

    JamiiForums Tanzania NAUZA MAFUTA YA DIESEL LITA ZAIDI YA MILIONI MOJA.

    Nauza diesel iliyothibithswa na yenye Vibali vya EWURA, nauza Lita 2600 tshs Sharti: Ili tufanye biashara lazima uwe unanunua kuanzia kuanzia Lita elfu 50 kuendelea Eneo: Dar-Es-Salaam Mawasiliano:0761419399
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nauza chainsaw

    Aina NI hausqavar Model 272 Imetumika miezi mitatu Tu Bei NI Million 1.5
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nauza chainsaw

    Aina ni hausqavarna Imetumika miezi mitatu Bei NI Million 1.5 Made in Brazil
Back
Top Bottom