nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. Sawa nauli zimepanda lakini zinaendana na ubora wa huduma?

    Shime wanajanvi, Tarehe nane inakaribia, tutaanza kulipa nauli mpya za daladala na mabasi ya mikoani. Tumeambiwa wadau walitoa maoni yao nchi nzima mimi sikuhojiwa. Ningehojiwa nisingeafiki hata kidogo, sababu ninazo lukuki tena zenye mashiko hasa kwa daladala; huduma ni mbovu mnoo, mbovu sana...
  2. LATRA yadai kushirikisha Wananchi kabla ya kupandisha nauli

    Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi. Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao. === “Nauli haitolewi kwa...
  3. UDART kama mna nia ya kutoa huduma toeni hizi nauli ni upokaji

    Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona. Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara...
  4. U

    Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

    Wadau hamjamboni nyote Karibuni tujadili
  5. Hesabu ya dereva wa daladala Baada ya nauli kupanda

    Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ? Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana . Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .
  6. LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  7. Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

    Bora msema kweli kuliko kuwa mnafiki. Kijana unaye jitafuta usije jaribu kufungasha mizigo kwenda kutafuta maisha huko mikoani, watu wa mikoani ni wabinafsi, roho mbaya, majungu na fitna. Kijana ukiwa Dar una 85% za kutoboa hapa town, kapuku muuza maji leo mtafute baada muda utamkuta mbali...
  8. Nimempa elfu 50 na bado akanidai elfu moja ya nauli

    Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kucheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote
  9. LATRA yawaonya wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa onyo hili baada ya kuwepo kwa malalamiko ya Wananchi kuhusu baadhi ya Wamiliki na Kampuni za Usafirishaji Abiria kuamua kufanya mabadiliko ya Nauli kinyume na masharti ya Leseni zao. Taarifa ya Mkurugenzi wa LATRA, CPA Habibu J.S. Suluo...
  10. Mamlaka zinashindwa kudhibiti wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela?

    Kwa muda wa takriban miezi miwili kumekuwa na malalamiko mfululizo ya Wananchi kuhusu wamiliki wa Mabasi kupandisha nauli bila kufuata utaratibu ingawa sababu wanayoitaja ina umuhimu kwakuwa ni kweli bei za mafuta zimekuwa zikipanda kila wakati huku nauli zikibaki palepale. Pamoja na hilo bado...
  11. LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  12. Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

    Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege. Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku). Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; namaanisha...
  13. Kama mnadhani Palestina anaonewa, jikusanyeni mwende mkawasaidie

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nimalize kunywa Supu! Kuna ka-kikundi kameibuka hapa Tanzania hasahasa kwenye Mitandao ya Kijamii ambako bila kupepesa macho kameamua kuwatetea Hamas kwa mauaji waliyofanya huko Israel, ila hako hako Ka-Kikundi kameendelea kulaani mauaji yaliyofanywa na Israel kwa...
  14. Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  15. Ajinyonga kisa kukosa nauli ya kwenda ukweni.

    Kijana William Bahati (20) Mkazi wa Kijiji cha Kashero Wilayani Mbogwe Mkoani Geita amefariki Dunia kwa kujinyonga na kamba ya kufungia mbuzi huku sababu zikitajwa kuwa ni kukosekana kwa nauli ya kwenda ukweni kumzika Baba Mkwe wake. Akiongea kuhusu tukio hilo Mke wa Marehemu, Grace Jeremiah...
  16. K

    Kuna viongozi wanahujumu mitandao makusudi ili watu wasilipe nauli na faini kwa mitandao

    Hii tumeshaiona kwenye mabasi ya Mwendo kasi, faini za traffic na za mabasi. Wanaharibu mitandao makusudi ili usiweze kulipa faini kwa mitandao au kununua ticket za card ili tu ukienda kulipa kwa pesa wanabaki nayo halafu haiendi serikalini. Tatizo kubwa watu wanafahamu hili na wananyamaza!!!
  17. S

    Nauli ya ya Dar - Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi?

    Habari ya jioni waungwana Naomba kujuzwa nauli ya Dar to Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi kwa semi luxury bus. Mana nina miaka miwili sijaenda Mwanza sasa mwezi huu nina safari ya kuelekea kanda ya ziwa. Nikipata msaada wa kutajiwa pia basi linalowahi kufika nitashukuru pia.
  18. Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

    Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko la Nauli kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta . Nitawajulisha kitakachojili . Usiku mwema .
  19. Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  20. B

    KATAVI: Wananchi walia upandishwaji nauli kiholela

    Wanachi mkoani Katavi, wameiomba Serikali kuingilia kati tabia ya madereva wa vyombo vya usafiri mkoani humo kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Tabia hiyo ya kupandisha bei inadaiwa kuanza siku za hivi karibuni baada ya serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…