nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  2. S

    KERO LATRA Arusha ni kichefuchefu: Nauli mpya za daladala wananchi tunapigwa sana

    Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba. Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia...
  3. Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

    1. 2023 nauli zilipanda mara mbili hii ilitakiwa kung'oka na waziri wa uchukuzi. Nauli zilisetiwa na LATRA kuwanufaisha wenye daladala na Mabus. Kwanini mafuta yakishuka Bei nauli hazishuki Bei? 2. 2023 Ajira za walimu zilitangazwa Tanzania mkoa wa Dar hakuajiriwa mwalimu hâta 1 tamisemi...
  4. Mmegombana Akasema anaenda kwao Mpe nauli, na usimfuate wala kumtumia nauli ya kurudia.

    Bila shaka mpo kwema! Vijana, ukiona upo na mpenzi, mchumba au mke ambaye mkigombana kidogo analeta vitisho vya kitoto. Wakati mtu mzima hatishiwi Nyaya. Mmegombana alafu ati anajikusanyisha mabegi yake na kutaka kuondoka, au anapenda kujisemesha kuwa naondoka! Naondoka! Sijafukuzwa kwetu...
  5. R

    Madereva bajaji wapanga kupandisha nauli katika mikoa mbalimbali nchini. Viongozi wa vijiwe vya bajaji wahusika

    Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza. Aidha, inadaiwa tozo ya trafiki kwa siku imepanda kutoka elfu moja hadi elfu mbili kwa bajaji moja hivyo kuchochea gharama...
  6. V

    Nauli za daladala Dar zinabadilishwa badilishwa makusudi, LATRA tusaidieni

    Ni wiki kadhaa tangia mamlaka zitangaze ongezeko la nauli( kulingana na kilometers). Lakini kuna mchezo mchafu unaendelea unaofanywa na makonda na madereva wa daladala ambapo wanapandisha nauli zaidi ya viwango tajwa. Wananchi wanashindwa kutetea kutokana na kuwa na ufahamu tofauti, unakuta...
  7. Je zuberi/kisesa express ndio tajiri zaidi kwenye sekta ya usafirishaji? Kwanini hajapandisha nauli?

    Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi yeye kaishia hapo kwenye 60,000/= yaani huyu Mwamba hajaanza Leo, tokea miaka hiyo yeye nauli zake ni...
  8. W

    Huenda Kuna watu wanapanga kumwangusha Rais Samia na CCM yake kwani baada ya nauli kupanda kwa 43% sasa gharama za kumwona daktari zapanda kwa 400%

    Haraka kwenye mada, mambo ni mengi, Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo, Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno, Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
  9. Nigeria: Serikali yafuta nauli za Treni, yapunguza nauli za Mabasi kwa 50%

    Serikali imepunguza 50% ya Nauli za Mabasi pamoja na kufuta Nauli za Usafiri wa Treni za Umma kwa lengo la kuwapunguzia Wananchi gharama za Maisha hasa katika Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka. Taarifa ya Serikali, imeeleza kuwa Rais Bola Tinubu ameagiza Mabadiliko hayo yaanze leo Desemba 21...
  10. S

    DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru nauli zetu za likizo kwanini hamjalipa mpaka leo?

    SIsi watumishi walimu tuliwasilisha fomu zetu za likizo tangia mwezi wa 11 mwanzoni, ila mpaka tarehe ya leo hatujalipwa wakati likizo imeshafikia nusu. Tunaomba mkurugenzi atueleze likizo tunaendaje? Kwanini amekalia pesa zetu na hataki kutulipa. Mchengerewa wewe ni jembe tegemeo la Rais...
  11. Polisi, LATRA wapiga faini mabasi yaliyozidisha nauli Arusha

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini kama Wananchi wanalipa nauli halali zilizotangazwa na Serikali mapema mwezi huu ambapo wamebaini baadhi ya wamiliki na mawakala...
  12. Kuongeza nauli ya daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600 ni kuishusha thamani Tsh 500

    Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600. Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji...
  13. Mtetezi wa wasafirishaji amepandisha nauli, mtetezi wa wasafiri mbona kimya?

    Kupanda kwa nauli za daladala na mabasi ya mikoani kungeendana na maboresho ya huduma husika. Mathalani miundombinu ya stendi, mfano sehemu za kupumzika abiria, muda wa kuondoka mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari, ubora wa vyombo vya usafiri na unadhifu wa watoa huduma nakadhalika na...
  14. R

    LATRA Tanga, RTO Tanga, nauli ya daladala ni kiasi gani kwa Tanga?

    Sasa daladala zinatoza Tsh 800. Zilipanda na kuwa Tsh 600, baada ya siku mbili wamepandisha mpaka Tsh 800. LATRA Tanga, bei elekezi ni ipi?
  15. Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

    Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo? Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi...
  16. F

    Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

    Niaje wana gwan? Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema...
  17. LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

    Habari za muda huu. Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao. Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...
  18. LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

    Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
  19. Hili hapa Jedwari la nauli kwa mabasi ya Masafa Marefu Tanzania kuanzia 8th December 2023

    Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha
  20. Sawa nauli zimepanda lakini zinaendana na ubora wa huduma?

    Shime wanajanvi, Tarehe nane inakaribia, tutaanza kulipa nauli mpya za daladala na mabasi ya mikoani. Tumeambiwa wadau walitoa maoni yao nchi nzima mimi sikuhojiwa. Ningehojiwa nisingeafiki hata kidogo, sababu ninazo lukuki tena zenye mashiko hasa kwa daladala; huduma ni mbovu mnoo, mbovu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…