nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume kabisa upo serious unasema una mpenzi wakati hata nauli ya kukufuata ulipo hana mpaka umtumie

    Hivi mwanaume kabisa upo serious unasema una dem, ata nauli ya kukufuata ulipo hana mpaka umtumie , kuna jambo hapo kweli au ubwege? Mwanamke ata vitu vya msingi, basic needs hawezi kujigharamia ndio unaamua kumnunua 😂 Mama zetu ndio walikuwa wanawake hizi nyingine ashakum si matusi, MAKAHABA Tu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania NITUMIE NAULI NIJE

    Yaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei. Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

    Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo...
  5. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 7 jela Kwa kula nauli ya mwanaume!

    Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo. Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema...
  6. JamiiForums Tanzania Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena

    Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena Mungu atusaidie sisi wapambanaji
  7. JamiiForums Tanzania Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali bei ya nauli ya SGR kupanda kila mara?

    Nauli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yapanda kimya kimya kutoka Sh 13,000 hadi Sh 13,500 – licha ya kutumia umeme badala ya mafuta Soma Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026 Katika hali ya kimya isiyoambatana na maelezo kwa wananchi, Shirika la...
  9. JamiiForums Tanzania Je ni halali kwa Kondakta kukukata nauli yako?

    Wakuu habari ya uzima wenu,,,, namshukuru MUNGU kwa uhai na neema ya upendeleo kwetu,,atukuzwe MUNGU. Basi bila kuchelewa Moja kwa moja kwa mada ,,,, tumekuwa na ubishi takiribani inakaribia miezi 6 jambo hili halijapata suruhu kati yangu na yule tuliyekuwa tumeanzisha mada hii, tumekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
  11. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Abiria hawathaminiwi hata kama analipa nauli mwendokasi Gerezani-Mbezi mwisho

    Jumatatu mida ya saa moja na dakika 15 nipo gerezani nasubiria gari ya Mbezi picha linaanza watu niliowakuta ni wengi na gari hamna toka saa 19:15 hadi saa 20:40. Gari zinazopita zinaenda Kimara au Muhimbili na Morocco ila Mbezi ndo kama umesahaulika saa 20:40 gari za Mbezi zinafika Gerezani...
  13. JamiiForums Tanzania Simba imepewa ndege au imelipiwa nauli?

    Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa. Yamezuka maneno kutoka pande fulani zikisema Simba imepewa ndege halafu badala ya kubeba mashabiki wake...
  14. JamiiForums Tanzania RC Chalamila kuwalipia nauli wana Dar Es Salaam 200 kushiriki betika Mbeya Tulia Marathon

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 - 10, 2025 Jijini Mbeya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bora Uishi karibu Kodi kubwa ama mbali na nauli kubwa

    Maoni yako Tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Ujue Mkoa ambao Wanaume wake wanaongozwa kutuma Nauli kwa Wanawake na hawaendi na Mkoa unaongoza kwa Wanawake kula Nauli walizotumiwa na Wanaume

    Wanaume wa Mkoa wa Mwanza wanaongoza kwa kuliwa Pesa za Nauli wanazowatumia Wanawake pale wanapowatongoza au kuwahitaji Kimapenzi na Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ndoyo Wanaongoza kwa kula Nauli wanazotumiwa na Wanaume ambao Wamewatongoza au wanawahiotajio Kimapenzi. Hii ni kwa mujibu wa...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Serikali iamue moja; nauli ya Mwendokasi iwe Tsh. 700 kamili au 800

    Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya namna hii? Kama hawana uwezo wa kuwa na hizo chenji za Tshs 50 waondoe hiyo Tshs 50. Najiuliza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania WAKUU NATAFUTA CHUMBA CHA 30000 KIMARA AU MBEZI KUFKA ROAD NAULI ISIZID 700

    Wanajf mnisaidie nisje lala nje ukiisha mwez huu nahitaji room kwakwel Uz tayari msaada uwe mwingi kuliko kashfa
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, Maria Sarungi atathubutu kuingia Tanzania kumzika Baba yake?

    Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM. Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo? Nauliza kwa sababu hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Abiria wanene walipe nauli kubwa zaidi

    Kampuni za ndege huenda hivi karibuni zikaanza kuwalipisha kiwango kikubwa cha pesa cha bei ya tiketi abiria wanene wenye uzito mkubwa ukilinganisha na ile watakayolipa Watu wenye uzito mdogo hii ikiwa ni sehemu ya maboresho yanayochangiwa na mambo mbalimbali ikiwemo kilichoelezwa kitaalamu kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…