natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa mbuzi Tabora

    Habari wanajamvi Ninatafuta dalali/mfanyabiashara wa mbuzi mkoani Tabora kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa hilo nitashukuru sana. Tuwasiliane 0788303079
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

    Natafuta kazi, nina diploma ya uandishi wa habari na utangazaji. Pia nipo vizuri kwenye camera na video editing. Please jamani connect.
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu wa masoko

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba awe anaishi Dar

    Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, clinical officer

    Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza, nawasilisha Kwa maelezo Zaidi...0719926468
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari za wakuu Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor ya business adminstration based in accounting, nina uzoefu wa kufanya kazi benk lakin mkataba uliisha na sikua tayari kuongeza tena kwa sababu zangu binafsi, baadae nilipata kazi kweny kiwanda, mkoani kama mhasibu msaidizi lakin bahati mbaya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dar

    Habari zenu wapendwa, mimi ni binti wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne ninaujuzi wa kompyuta nilisoma kozi fupi natafuta kazi ya stationary, au uwakala tigopesa nimefanya mara kadhaa hizo kazi nina uzoefu nazo napatikana Dar - Mabibo Napatikana humu0789 642604. Asanteni.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke awe mchumba wangu

    Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke/Mkristo

    Hellow guys😁
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Probox used namba A,B,C,D

    Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie Bajeti yangu Ni 4m , Nataka niuuzr guta nimiliki pro box Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

    Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs Nipo Dar es Salaam Natafuta Mke wa kuoa. Vigezo: ●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌 ○Umri 24-48😎 ●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵 ○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃 ●lazima awe na Bubbly Ass🍑 ○ kuhusu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira (kazi) ni mwanafunzi wa chuo lakini najisomesha mwenyewe

    Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    A/alleikum Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam. Umri 32 miaka. Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer) Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana Sifa Uwe Muslim Elimu yoyote Mkazi wa Dar es salaam au jirani Umri 20-29 Napatkana telegram 0759565300 or normal.
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali Dar es Salaam

    s
  17. JamiiForums Tanzania Nani dalali Arusha? Natafuta nyumba ya kukaa

    Wapi naweza kumpata dalali Arusha ili niweze kutafuta nyumba ya kukàa? Nyumba ya kupangisha, siyo kasri.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Google Developer Console

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye Google Developer Console niweze kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Kununua Blog yenye Adsense

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06 Shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…