natafuta mchumba

  1. L

    Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  2. majebsmafuru

    Natafuta mchumba wa kike

    Awe kuanzia 25 mpaka 50. Mwenye biashara zake au kaajirawa. Dini yoyote, kabila yoyote. Mimi mfanyabiashara. Niko 50+ Karibuni warembo
  3. M

    Natafuta mchumba mwanamke Mkristo

    Habari, Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1. Mrefu mweusi, am very focused 2. Umri wangu 30 3. Graduate, Christian 4. Muajiriwa 5. Ninaishi Kilimanjaro Sifa za mwanamke nimtakaye 1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto 2. Umri lazima uwe na 18 hadi 26 3. Msafi wa mwili na roho 4. Uwe na elimu...
  4. Penguinelli Cactussini

    Natafuta mchumba wa kike (asiwe trans)

    Natafuta mchumba MWANAMKE awe Dar, wa mikoani hapana sina nauli ya kutuma. Vigezo 1. Awe amezaliwa wa kike na aambatanishe kadi na cheti cha kuzaliwa 2. Awe na elimu walau awe na D ya masomo ya science O level 3. Awe mbea 4. Asiwe anaongea sana ila nikimwanzishia tu atiririke. 5. Wazazi/walezi...
  5. Citizen B

    Natafuta mchumba

    Umri wangu: 38 Jinsia: Dumesimba Kazi: Body builder Location: Dar es salaam Dini: Mbudha Sifa za binti naemtafuta Umri:16+ Jinsia: Jikeshupa Kazi: Yoyote Location: Popote
  6. Penguinelli Cactussini

    Natafuta mchumba sasa na njoo

    Mimi ni mrefu futi 6.2 sina ajira nina kazi tu napambana. Ni mkristo na nampenda Yesu. Nina mwili mkubwa tu wa kutosha kuwa na ka kitambi kakufutia simu. Kwa kusema hivyo, 1. Nahitaji mwanamke awe mrefu, 2. Miaka huwa siangalii sana, 3. Elimu yoyote, 4. Rangi yoyote tu bora isiwe ana...
  7. K

    Natafuta mchumba

    Hello Mwenzenu upweke utaniua Natafuta mwanamke ambae tutaenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -30yrs Mjasiliamali Mkristo Sifa za mke: Umri 27yrs na kuendelea Mkristo Mwenye hofu ya Mungu Mwenye upendo wa dhati Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi...
  8. Think2

    Natafuta Mchumba

    natafuta mchumba wa kike awe na sifa zifuatazo ■ awe na umri kati ya miaka 22-25 ■ awe mwembamba kiasi mwenye shape ya kawaida ■ kabila lolote ■ Dini awe Muislam ■ Elimu kuanzia lasaba hadi form four. ■ Awe anajishughulisha ■ Asiwe na mtoto. ■ asiwe anatumia kilevi Sifa zangu ni ☆ Mweusi...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Natafuta mchumba wa kike

    ....
  10. your favorite

    Natafuta mchumba wa kiume

    Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat, ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
  11. Hidden Diamond

    Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

    Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
  12. 3

    Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

    Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi. Mwenye umri miaka 40 kwenda juu Jinsia mwanamke Mkristo Asiye na uwezo wa kuwa na watoto Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya hatutadumu kwenye mahusiano. Anayejaza vigezo hivyo Ani PM namba yake
  13. Dr leader

    Natafuta Mchumba

    Namtafuta mchumba 1 Hodi naleta maombi, ya uchumba Hapa niiweke kambi, na kulimba Nile za maziwa tambi, nina sumba Namtafuta mchumba, ajilani 2 Barua hii iwazi ,isomeni Na awe yangu saizi, mleteni Wajulisheni wazazi, dalihini Namtafuta mchumba, ajilani 3 Rangi sitazichagua, auswadi Na...
  14. K

    Natafuta mchumba

    Nina miaka 32 natafuta mwanamke tufunge ndoa awe muislam umri 19/25 kabila lolote lile
  15. H

    Natafuta mchumba/ mwanamke

    Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga. Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema...
  16. U

    Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

    Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila. Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
  17. mshakamshaka

    Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba. Mwenye miaka 19 to 25 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha. Mimi ni mtumishi wa serikali. Elimu degree. Nina miaka 33. Mengine yanazungumzika njoo pm kwa taarifa zaidi.
  18. Q

    Natafuta mchumba Mwanamke

    Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM ipo wazi.
  19. stan john

    Natafuta mchumba mwanamke

    Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry Natafuta mwanamke wa kuoa , Naishi mabibo Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
  20. stan john

    Mimi ni Domo zege natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
Back
Top Bottom