natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Natafuta kazi

    Elimu yangu ni form four Umri miaka 33 (me) Kazi yoyote ya halali popote Sifa ya ziada Najua kucheza na kompyuta kiasi fulani ingawa sina vyeti (sijasomea rasmi) Nina cheti cha ualimu Shule za msingi
  2. D

    Natafuta kazi ila mimi bado ni mwanachuo ili niweze kulipa ada

    Habari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya kiuchumi mwenye kazi yeyote anisaidie pia mm nina diploma ya procurement and logistics pia mm ni...
  3. M

    Natafuta kazi Nimemaliza degree ya accounting

    Helloo Tanzania naitwa Jenipha nimemaliza degree ya accounting chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi Asanteni 0713776534
  4. D

    Natafuta kazi ya kutuma mzigo ndani ya Dar na mikoani

    Habari nipo natafuta kazi ya kutuma au kuagizwa chochote mzigo ndani ya dar au mikoani mm nipo dar es salaam.
  5. Natafuta kazi yoyote nipo kahama

    Habari wana jf , mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nipo kahama mjini elimu yangu ni kidato cha nne , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya . namba yangu ni 0715308721
  6. U

    Natafuta kazi, nina diploma ya ualimu wa sekondari

    Natafuta kazi wanandugu nina diploma ya secondary education mwalimu wa biology naishi Dar es salaam. Mbarkiwe.
  7. NATAFUTA KAZI

    Habari wana JFM Mimi nikijana wa kitanzania,niko na uhitaji wa kazi yeyote iliyo halali. Lakini pia nimesomea shahada ya Information Technology ,mwenye connection na kazi naomba anisaidie . Napatikana singida Tanzania. Email: samwelnduro@gmail.com Phone:0744968695
  8. M

    Natafuta kazi

    Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni 1.Ulinzi 2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar 3. kazi zote za nguvu hata viwandani 4. kazi za hotelini Kama una kazi nipigie 0681050265 Asante. 🙏
  9. F

    Natafuta kazi

    Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
  10. I

    Natafuta kazi yoyote ya kuendesha maisha

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni bachelor degree in Logistics and Transport Management, naomba nafasi ya kazi yoyote ile itakayosaidia kuendesha maisha
  11. J

    Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu natafuta kazi maeneo ya Arusha nina degree ya Umeme, mwenye connection ya kazi za viwandani, kampuni, dukani, supermarket, sheli naomba anisaidie. Natoa shukran kwa wote
  12. T

    Wakuu natafuta kazi Leo ni weekend ya mwisho kesho ni mapambano

    Mambo vipi wakuu, je ni kwema, Leo ni siku ya mwisho ya mapumziko wakuu, kesho tukiamka salama ni siku ya mapanbano lakini Mimi ndugu natafuta kazi iwe mkoa wowote Mimi nakuja kufanya kazi, Sijasoma sana nimeishia form 2 tu ndugu zangu Sina ujuzi wowote ule lakini naweza nikioneshwa kazi...
  13. B

    Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  14. A

    Pharmaceutical Technician natafuta kazi

    Habari wakubwa... Kijana wenu machachali mwenye uchu wa mafanikio ninakuja mbele zenu naomba msaada wa kazi ya taaluma yangu. Mimi ni pharm technician mwenye leseni hai na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3) kwenye famasi jamii na famasi za hospital pia. Nina ujuzi mzuri tu wa kutumika...
  15. G

    Natafuta kazi ya kufundisha primary, o level au Advance

    Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
  16. Natafuta kazi Nina stashahada ya uhandisi wa mekaniki

    nipo mkoa wa Dar es salaam,
  17. Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wote mimi ni kijana wa Kiume miaka 28 Natafuta kazi yeyote ile yenye kulipa ninaujuzi katika sales, marketing, graphic design, tourism, management, negotiation na pia kingereza nazungumza vizur. Nina degree ya Uchumi ila kwenda Veta ngumu (pesa ya ada sina na nina wategemezi). Tafadhali...
  18. Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  19. Natafuta kazi ya masoko(marketing) au mauzo(sales)

    Mahali: Mwanza. Fani: Uhusiano wa Umma na Masoko Uzoefu: Mwaka 1
  20. M

    natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu

    Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…