nape

  1. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  2. JamiiForums Tanzania Sifurahishwi na Matusi ya Nape, Kingwangalla na Humphrey Polepole kwa Dkt. Bashiru

    Mimi binafsi kama kijana wa kitanzania, ambaye utawala wa awamu ya Tano nusu unitoe roho Kwa presha pale nilipoenda TRA na kukutana na kikosi kazi kilichoundwa na Mh. Makamu wa Rais wa Sasa enzi hizo akiwa Waziri Wa fedha kwa kweli sifurahishwi na Matusi ya rejareja anayotukana Mh Waziri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

    Pesa, noti za Tanzania zina printiwa Ujerumani. Nchi mbili tu Afrika Mashariki ndo zinachapa fedha nchini mwao ( Kenya na Congo), pia ni nchi tisa tu kiujumla Afrika ndio zinachapa fedha zao ndani ya nchi zao. Chanzo: DW Nchi za afrika na chapa za fedha
  4. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwiba ulipoingilia ndipo unapotokea

    Maxence Melo na wenzio tembeeni kifua mbele Nchi inawaunga Mkono. Ni maneno yake Nape Waziri mwenye akili nyingi aliyoyaongea wakati wa Uzinduzi wa Jamiicheck ya Jamiiforums na Utangazaji wa Washindi wa Stories of change. Hongera sana kaka Nape kwa kusema kwamba rais Samia ni Muungwana.
  5. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa

    Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale. Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Nape kwenye Uzinduzi wa JamiiCheck ya Jamiiforums

    Makampuni mengi ya kitanzania hayana mfumo wa ku fact check, na hata yanayofanya hivyo hutumia kampuni za nje ambazo hata kiswahili chao siyo kizuri. Unaweza kukuta mtu kaandika Nape kaumwa wakati siyo kweli. Nafarijika kuona jambo hili limezinduliwa leo na ndiyo maana nipo hapa. Kama serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

    Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala. Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so...
  8. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye arudi kwenye uenezi CCM, Shaka bado anaendeleza ukurung'unzu wa Hamphrey Polepole

    Shaka amemezwa au haamini kwamba yeye kazi yake ni uenezi wa chama badala yake amegeuka kuwa msemaji wa Serikali. Anatumia muda mwingi kusifia sifia tu, sifa zikizidi unakuwa utoto na ni ukurung'unzu! Ni hatari kwa sababu Shaka unatakiwa kuionyesha Serikali matobo yanavuja, ili CCM iyafanyie...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa haya ambayo mliwasingizia Nape na Makamba mtubu sasa Mungu amewaweka wazi

    Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart. Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka anaungua na moyo usaidie moto kukolea. Unaweza msaidia nyoka...kwa tabia za kinafiki za nyoka kuna siku...
  10. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  11. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ana maslahi binafsi na hizi kampuni za mitandao?

    Watu wanalalamika vifurushi kupanda bei ingawa hiyo kupanda bei tutapewa maelezo kua sisi tuna nafuu. Kuna hii ya sasa kifurushi kinaisha haraka na maelezo kua ni hatujui kutumia simu, kweli? Wakati ukweli ni 1GB ya 2 weeks ago sio sawa na 1GB ya sasa. Sasa hivi inapukutika wakati matumizi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

    Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla. Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi...
  13. JamiiForums Tanzania January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba, kama mna ndoto za kuja kuwa Marais kwenye Nchi hii basi futeni hizo ndoto

    Vijana mmeaminiwa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania kwa kupewa uwaziri lakini mnachokifanya kwenye wizara zenu ni madudu tu. Hamjaonesha kuwa mko competent kuweza kugombea nafasi ya Urais hapo mbeleni. Mwigulu Nchemba umeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi badala yake umeweka tozo...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

    UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
  15. JamiiForums Tanzania Wanajichafua wakidhani wanamchafua

    Kumekuwa na Juhudi nyingi kufuta Mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli,Jitihada hizi zinaonekana waziwazi hasa kutokutambua mchango wake kwenye Miradi aliyoiacha, Katika Daraja jipya la Wami aliloliasisi tumeona mzinduzi alivyokwepa kutambua mhasisi dr Magufuli. Katika ukaguzi Wa Meli tumeona...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nape na Wizara ya Makamba zote zinawatesa wananchi

    Wizara ya Nape kila kukicha gharama za bando zinazidi kupaa na Watanzania wanajua. Wizara ya Makamba kila kukicha inaongoza kwa kukata nishati ya umeme na kwalo vitu kama radio, TV, freezer na vitu vingi fanani navyo vinaharibika kwa kuungua na hata biashara zitegemeazo umeme zinaharibika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

    Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi. Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229 Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

    Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya. Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
  19. JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za Kabendera, ni wazi kuwa waliomtolea Nape bastola na kumpiga risasi Lisu walitumwa

    Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji. Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki. Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…