naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

    Wataalamu wa Subaru. Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500! Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1. Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
  2. JamiiForums Tanzania Uchumi wa namba ulikuwa ni mmoja ya silaha ya mamlaka za dunia kucheza na akili za watawaliwa.

    Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates, hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani. Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
  3. JamiiForums Tanzania Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  5. JamiiForums Tanzania Nikiziangalia Sura za Marehemu Gen. Musuguri, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo na CDF wa sasa Gen. Mkunda naona ni za Kazi Kazi na Makamanda wa Kweli

    Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

    Toka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hizi siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa napatumia kama ofisi yangu ya nyumbani pia kama prayer room binafsi hasa nyakati za usiku...
  7. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  8. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  9. JamiiForums Tanzania Naona mwamba ashaanza kuwaza yafuatayo mapema 😂

    Pambana mkuu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Misso Misondo naona anazidi kwenda mbali

    Kiutani utani nilisikia wimbo wa kwenye vibanda vya muziki nikiwa napita, mdundo wake ulinivuta nikazama SHAZAM kujua ni msanii gani kahusika. Duh mkali wa singeli Misso Missonda naona kapita na wimbo wa kihindi na kuuleta kwenye mahadhi ya kisingeli cha bongo. Wimbo ni hatari unaitwa TERA...
  11. JamiiForums Tanzania Naona nimpe sunspension kama ya mwezi hivi

    Wakuu, poleni kwa kuwasumbua sana. Ni vile naipenda familia yangu na pia naipambania sana licha ya mwenzi wangu kutokuwa na shukrani. Huenda yote haya yanatokana na kuzoeana sana ndani ya nyumba, yaani ile hali ambapo ugomvi huanza, halafu anajua kuwa hata nikinuna, mwisho wake huwa ni mwepesi...
  12. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  13. JamiiForums Tanzania Naona waarabu wameanza kuomba msamaha

    Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana? Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania Ninapitia mitandao ya kijamii hasa mtandao X naona Waarabu wanamaadui Kila pembe ya Dunia. Sababu kubwa ni ipi?

    Aiseeh! Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima. Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika. Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID

    Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
  16. JamiiForums Tanzania Hili soko la kimataifa EALCC linalojengea Ubungo stendi ya mkoa ya zamani naona kama litakuwa kama mlimani city tuu

    Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza. Mi naona...
  17. JamiiForums Tanzania Naona mtume kaanza kufanya uganga hadharani? taratibu mtanielewa, anagawa mchanga wa baraka huko Arusha.

    Wakuu kwema? Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani. Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au...
  18. JamiiForums Tanzania Hili naona ndiyo linakwenda kutokea. Kweli Nyerere aliona mbali

    Kweli Nyerere aliona mbali sana.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wachumi nguli waungana na David Kafulila

    Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila. Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
  20. JamiiForums Tanzania Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

    Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…