naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya nchi inayoitwa Star Employment Service Tanzania. Nilianza mawasiliano na Mkurugenzi wa kamouni hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye update ya kesi ya Lisu atuwekee hapa. Naona Hilda "amekabwa koo"

    Tusaidiane mlioko Dar mahakamani mtupe dondoo kidogo.
  4. JamiiForums Tanzania Naona halimi vizuri huyu

    Ngoja nimu onyeshe kwa vitendo.
  5. JamiiForums Tanzania Nipo kanisani, huyu Askofu kila mada anayotoa leo naona ananilenga mimi, nikipata nafasi nachomoka hapa

    Kwanza sadaka sitoi Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
  6. JamiiForums Tanzania Naona Paul Chacha kachangikiwa maana mateso waliofanyiwa akina Mbowe ni Makalii mno

    Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia 1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001 2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti. 4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono...
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu kwa sasa naona washaanza kushtuka

    Kuna mambo yanayoendelea na ili Trump na mpongeza ila Europe sasa wanashtuka jua la jioni.
  8. JamiiForums Tanzania Kama mzazi na kama kuna wazazi hapa JF tuungane kurekebisha elimu ya tanzania naona kama ni vichekesho.

    Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani. Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naona leo England anaenda Fainal

    Hisia zangu zinaniambia England anamtoa Argentina counter attack za England zinaweza zikawa mwiba mkali kwa Argentina. England watamnyima space Argentina kitu ambacho kitawapa wakati mgumu
  10. JamiiForums Tanzania Naona mbuzi (GOAT) anataka kumfuata kondoo (SHEEP)

    Anakosaje penalty? Hii ni mbaya!
  11. JamiiForums Tanzania Naona jamii sasa imeamka kumuadhimisha baba katika 'Father's Day'

    Kwa miaka mingi, imekuwa kawaida kuona Mother's Day ikipewa uzito mkubwa, huku Father's Day ikipita kimya kimya kwa watu wengi. Lakini safari hii nimeona jambo tofauti; watu wengi zaidi wamejitokeza kuwapongeza na kuwaenzi baba. Hili ni jambo la kutia moyo. Naam, inaonekana jamii imeanza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Naona Maria spaces leo kizungumkuti kunani? Au ni topic ya màndamano wame block kila kitu

    Mimi siipati kabisa. Kulikoni? Au topic ya màndamano imetisha serikali na TCRA wameziba kabisa mtandao
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

    Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu. Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Polepole kuwa akijiweka madarakani kwa nguvu, atatawala kwa shida, naona sasa yanatimia

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, hayo ndio yalikuwa maneno ya Polepole kwa Mtawala kuwa akijiweka madarakani kwa njia zusizo za kudemokrasi, ajiandae kutawala kwa shida. Kwa saaa, ukisikiliza mikutano ya hadhara ya CHADEMA, ukisoma post na comments za watu mitandaoni kuhusu huu utawala na...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mpira leo naona utaitendea haki Arsenal: Itapata ubingwa ikiwa imekaa sebuleni!

    Imepita zaidi ya miaka 20 tangu Arsenal iteae ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. Pamoja na kucheza soka safi la kuburudisha huwa wanaishia kunawa tu! Lakini hatimaye inaelekea soka linaenda kuitendea haki Arsenal itwae ubingwa ikiwa nje ya uwanja. Hadi muda huu Man city kachapwa 1-0. Matokeo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TAKUKURU iwekwe chini ya Jeshi la Wananchi (JWTZ)

    Rushwa ni adui wa TAIFA Kwa ufupi naomba nikuonyeshe why nasema Rushwa ni adui wa TAIFA. 1. Rushwa inawanyima wanyonge haki zao. Mnyonge hasikilizwi popote labda awe na rupia ndo atavunja uzia. 2. Rushwa ni chanzo cha maovu yanayotokea kwenye TAIFA. Mfano:- (a) mtoto kabakwa, baba wa mtoto...
  18. JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025. Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+ Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Naona sasa amekuwa normalized na Ripoti yake au visits by fellow dictators. Sauti sasa inatoka kama hana hatia ya 29th October, 2025!

    Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th. Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc! Hivi Ruto alikuja kufanya nini? Ku normalise mauaji? Time will tell!
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…