nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania nani katuroga?

    watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao. Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tumelogwa na nani?

    Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa. Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali...
  3. JamiiForums Tanzania Wakatoliki ni watu Intellectual sana : Asante askofu Pisa, Je ni nani anaevuruga amani?

    Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru. Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi… Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense. Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Lissu na wengine ni Tanzania Mpya heros. Vizazi vitawatambua hivyo.

    Salaam! Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi. Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla. Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Mimi Msela siwezi kwenda jela. Wimbo wa nani huu?

    Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari. Mimi msela siwezi kwenda jela Na nikienda jela narudi na Mihela.. Naruka tikitaka kulia na kushoto Na mademu wanitaka .... Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki

    Hivi kumuuwa mtu ambaye anataka tu sheria zinadilike ili chaguzi kuwa huru kwa Watanzania wote ni kwa kumnufaisha nani? Je ni kunufaida Watanzania hao hao!? Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki kwa wananchi kuchagua mtu...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY. Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
  8. JamiiForums Tanzania Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Mfalme amesema hivi, nani wa kupinga?

    Mfalme huyu anajulikana na kusifika dunia nzima kwa sababu ya hekima ya hali ya juu, utajiri mkubwa, maisha ya kifahari na idadi kubwa ya wanawake aliooa. Pamoja na yote hayo anakiri kwamba maisha ya dunia hii ni ubatili mtupu. Huyo si mwingine ila ni Mfalme Sulemani. Unapinga kauli yake hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Unatabiri Kengold na timu gani zinashuka ligi kuu ? Mtibwa anarudi ligi kuu na nani?

    Kengold haina mjadala atashuka tu, Je atashuka na nani moja kwa moja bila playoffs Mtibwa kakiwasha sana championship ana uhakika wa kurudi ligi kuu, je atarudi na nani
  12. R

    JamiiForums Tanzania Unahisi nani ni bingwa wa ⚽ Fifa 🎮 Play Station hapa Bongo

    Ni game iliyojizolea umaarufu hapa nchini, ningependa kuwajua mafundi wake watukutu
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  14. JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

    Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho. Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mamlaka ya Rais yamepatikana kikatiba, katiba imepewa mamlaka na nani?

    Hellow! Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo! 1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT? 2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi? 3. Na ikiwa mamlaka...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko Chadema kwa maslahi ya nani

    Inashangaza kuona mgawanyiko wa makundi ndani ya chadema swali muhimu kwa maslahi ya nani?
  17. JamiiForums Tanzania Kipanya: Ni nani anayezungumziwa hapa?

  18. JamiiForums Tanzania Nani anirekebishie blog yangu iwe na sehemu ya selling product kama hii

    Kwenu wa taalamu! Usisahau kutaja Bei yako ya kazi
  19. JamiiForums Tanzania Je, kwanini ndoa imekuwa ngumu kufikiwa?

    1️⃣ Matarajio Makubwa – Watu wengi sasa wana vigezo vingi vya mwenza wanayetaka. Wanaume wanataka wanawake wenye heshima, waelewa, na waaminifu, wakati wanawake wanataka mwanaume aliye stable kifedha, mwenye malengo, na asiye na michepuko. Lakini mara nyingi, watu wanakutana na wenza...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi walikwama kuitambua hii nguvu ni ya nani waakamua kuibatiza nguvu ya mvutano (gravitational) lakini si kweli

    Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho. Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali mengi kuhusu nguvu ya mvutano (gravitational) Utafti wangu unaniambia popote ukiona msomi kaweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…