nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Serikali imeshindwa kujua anayeteka na kuua raia, maana yake imeshindwa kulinda Raia, iachie watakaoweza

    Ni simple logic, Samia ndio anaongoza serikali, vyombo vya usalama vinawajibika kulinda mipaka, raia na mali zao. Kama raia wanatekwa na kuuawa, na mwenye mamlaka yeye hahusiki na huo utekaji, lakini pia 1. Hajui watekaji ni kina nani 2. Huwezi kuzuia utekaji. Maana yake ameshindwa uongozi i.e...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

    Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema? Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli. TANZANIA tuna safari ndefu...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Captain Tesha ni nani?

    Je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi Je ni kweli yupo kikosi cha anga Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi JWTZ pia watoke watoe tamko nani ni captain tesha Kachafua hali ya hewa sana leo hapa nchini
  5. JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lissu: Nani alisema kuingia barabarani ni haramu?

    Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao. Shida inapokuja kwa viongozi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kanisa dhidi ya haki, Bakwata na uchawa wa je unasimama na nani?

    Huu ndiyo ukweli wenyewe Kanisa limeamuwa kusimama na haki dhidi ya watawala huku Bakwata na baadhi ya Waisilamu wameamua kugeuka chawa kwa kweli Taifa linaenda kuwaka moto
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mzungu/Muhindi aliekuwa anasimama pembeni ya Nyerere akihutubia alikuwa nani?

  8. JamiiForums Tanzania Kina nani walitumwa Kwa Lissu kwenda gerezani kumshawishi atoke, je Lissu ni tishio Kwa Serikali?

    Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence. Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini?

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama wananchi ndio hawa wanaimba hawamtaki,anagombea ili amuongoze nani?

    Hii kitu imetokea huko kimara leo Abiria wa mwendokasi walikua wanaimba kuwa hawamtaki Samia. Cha ajabu police wamewakamata.
  11. JamiiForums Tanzania TRA mnafunga 'Comments' kwa nini, Mnampostia nani?

    TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu. Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.
  12. JamiiForums Tanzania Je nani kamuua Dickraka Mwamakula?

    Kamanda wa Polisi katika Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga ametoa taarifa ya kifo cha Dickraka Mwamakula (24) aliyekuwa askari wa Jeshi la Magereza katika Mkoa wa Njombe. Na kwamba, kijana Mwamakula alipotea tarehe 7 Septemba 2025. Lakini baadaye mwili wake umepatikana ukiwa amefukiwa shambani...
  13. JamiiForums Tanzania Mapepo yaliyotolewa na Makonda yalimwingia nani? Sasa we Gambo unabisha, ulikuwepo?

    Sasa wewe Gambo unabisha Makonda hakutoa mapepo, unabisha ulikuwepooooo? Je yalienda wapi mapepo hayoo? Ila siasa ni konyo wasemavya wapemba
  14. JamiiForums Tanzania Nani Hatari Zaidi?

    Yupi mtu hatari zaidi kati ya yule anayepigana na wewe hapo hapo au kugombana au yule anayehifadhi maumivu yake?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  16. JamiiForums Tanzania Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Rais ndio anaamua nani awe mbunge, msinisumbue kupiga kura

    Mbunge ni muwakilishi wa wananchi hivyo inabidi achaguliwe na wananchi. Wananchi wanamchagua mtu ambaye wanajua anafanana na wao na anaweza kwenda kupeleka hoja zao bungeni. Lakini kwa jinsi siasa zilivyo ni kama mtu anakuwa mbunge kwa huruma ya rais na sio kwa kura za wananchi. Kwa sababu hii...
  18. JamiiForums Tanzania Mo Dewj na GSM nani tajiri zaidi?

    Hivi hawa watabe wawili GSM na Mo Dewj ninani tajiri zaidi?
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

    Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano. Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano? Na je...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nani ni mfugwa kati ya hawa?

    Mmoja ni mfugwa wa rohoni na mwingine mfugwa wa kibinadamu. Ingawa kibinadamu Lissu ni mfugwa lakini roho yake ipo huru. Wakati mwenzake kufanya kazi ya kulazimishwa moyoni hayuko huru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…