nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nani kutoka Duniani wa kutusaidia kulifurusha jinamizi

    Toa maoni yako.
  2. JamiiForums Tanzania Nani anawadanganya Nsingizin Hotspurs?

    Moja kwa moja kwenye mada Mara kadhaa nimeona mtandaoni kocha na wachezaji wa Nsingizin wakisema eti wanajua Simba atajiangusha na kujilaza sana pale kwa mkapa ili kupoteza muda pale kwa mkapa. Sasa najiuliza, nani anaewadanganya hawa ndugu zetu kuwa Simba anacheza kwa kujiangusha?? Au ndugu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mnatutishia watanzania na magari ya kipolisi na kivita, mnataka kumuua nani ama mtaweza kutuua wote ?

    Je mutaweza kutuua watanzania milioni 50+? Sasa mbona hata hio ni ujumbe tosha hata wapiga kura wasiende kupiga kura.. Huu ni uchaguzi ama vita Free Polepole Free Heche Free Mdude
  4. JamiiForums Tanzania Wagombea wa urais tofauti na wa CCM ni wakina nani?

    Huu uchaguzi unaosisitizwa sana una wagombea gani wengine katika ngazi ya Urais tofauti na mgombea wa CCM ?
  5. JamiiForums Tanzania Nani atashinda F1 Driver’s Championship 2025 kati ya Piastri, Norris au Verstappen?

    Hadi leo, tar 21 Oct, zimebaki race (GP) 5 tu msimu uishe. Msimamo hadi sasa upo hivi: Piastri na Norris wamefanya vizuri sana na gari lao la McLaren na wameshachukua kombe la Constructors kabla ata msimu haujasha. Sasa kwa upande wa driver, Max Verstappen ataweza kutetea ushindi wake...
  6. JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia anashindana na nani kwenye Urais?

    Eti wadao mimi sijaona mgombea mwingine wa Urais akifanya Kampeni, Je nauliza Samia anashindana na nani? Au watu Millioni 60 nchi nzima hakuna mtu anayeweza kuchuana na Samia. Maana kuanzia kwenye vikao vya CCM Samia hakupata mshindani, tumekuja kwenye Kampeni bado hatuoni mshindani wake...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

    Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania? Simuoni!
  9. JamiiForums Tanzania Nani anatuwakilisha Mazishi ya Raila Odinga?

    Kama mnavyojua tumepata Msiba wa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Je Nani anatuwakilisha huko? Atafutwe Mstaafu mmoja au wawili wakatuwakilishe huko Bondo.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Angella Kizigha ni nani kwenye kampeni za Samia?

    Huyu ni Nani anafanya logistics zote kuliko hata TISS? Je usalama wa taifa mmebariki ili?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine anamuona Dkt. Bashiru kwenye nafasi kubwa sana pengine kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi?

    Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
  12. JamiiForums Tanzania Nani asiyejua Mr. Tabasamu ndiye yupo nyuma ya maandamano ya 29 October

    Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga. Wewe ndiye uliyeanzisha haya mambo ya wasiojulikana nani hajui hilo. Walahi tutakushangaza. Unacheka usoni alafu tukigeuka...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchora hyperealistic sketch. Nani anajua hizo codes humu?

    Wakuu kwema? Naamin mko vizuri, nina skills za uchoraj wa graphite pencil. Ninategemea kuunda kitu flani hiv kinachoshabihiana kabisa na hyperealistic drawing styles ili niweze kufanya biashara safi hapa Unguja. Ninatafuta mtaalam wa sketch mitindo hii ya hperalism. Nina ujuzi pia na uchoraji...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania "Utekwaji nyara wakosoaji, si sera. Ni doa la aibu!" Mwonekano huu wa Tanzania ya leo ni kwa manufaa ya nani?

    Hii ni tahariri yenye kutuakisi tulipo: Mwonekano halisi wa Tanzania ya leo. Ukweli mchungu: "Mtanzania gani anaweza kuwa mnufaika wa Tanzania hii? "
  16. JamiiForums Tanzania Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
  18. JamiiForums Tanzania Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

    Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya. Kapotea Ben Saanane wapo kimya. Kapotea Azory Gwanda wapo kimya. Orodha ni ndefu sana.... Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Unashindana na nani?

    Wewe Lucas Mwashambwa unashindana na nani ? Unaponda hela za kodi zetu, unashindana na nani?
  20. JamiiForums Tanzania Ni nani mnufaika wa machafuko iwapo yatatokea?

    Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini? Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais? Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe? Tutafakari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…