nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni nani huwa anamwandikia Samia hotuba? Naona anaboronga tu

    Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje? Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata majibu 😭 Nimehitimu Diploma ya Uhasibu kwa shida sana, maana nilikuwa natumia nguvu ya ziada kutafuta wanafunzi wenzangu wanisaidie walichofundisha Lecturers Darasani kwakuwa nilikuwa sisikii wakifundisha. Baada ya kufaulu na kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Yanatafutwa maridhiano kati ya nani nani? Nani alidhulumiwa haki zake?

    Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa. Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe? Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
  5. O

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuishi Mwanza miaka ya 2000s, hawa kina Mabruki walikuwa ni kina nani kiasi cha kuogopwa ?

    Nimetoka kuwasikia kwa juu juu kwamba katika miaka hiyo walikuwa na heshima yao jiji la Mwanza. Kuna msanii mmoja walitaka kumpiga, lakini alinusurika baada ya kuzuiwa na msanii wa eneo hilo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM, inayotoa kibali cha kuteka na kunyang'anya uhai watu, ni nani Mpumbavu awasikilize?

    Laiti mngekuwa na hekima hata kidoogo kabisa, mlipaswa mnyamaze kabisaa hata uongozi wenu uiishe tuu ili tujue moja kwamba, tunapaswa Tuishi nanyi kwa kukwepana sana ili tunusuru uhai wetu Mnaisemea Rwanda eti haina Amani, Nchi ndoogo kama mji wa Dar-es-salaam Nchi ambayo GDP yake inaelekea...
  8. JamiiForums Tanzania Samia anataka kuridhiana na nani wakati waliovuruga nchi walikuwa si watanzania?

    Katika hukaha, kutapatapa na kuhanyahanya, Samia aliunda timu, siyo tume ya maridhiano. Kwanza, anaridhiana na nani? Pili, pesa ya kuendesha zoezi hili inatoka kwenye bajeti gani? Tatu, ni kiasi gani? Nne, ina faida gani? Tano, je, walengwa nni nani? Sita, kupata wajumbe, ametumia vigezo gani na...
  9. F

    JamiiForums Tanzania HOJA NZITO: Sheria ni kwa nani?

    Tunaona magari ya serikali yanayoonekana wazi kabisa kuwa mapya Prado za 2024/2025 lakini yanatembea na namba za usajili za zamani za miaka ya 2000, mfano T 220 ATZ. Hii ni akili ya kawaida au ni dharau kwa jamii? Je, serikali haijui kuwa mfuatano wa namba unaendana na mwaka wa usajili? Au...
  10. JamiiForums Tanzania Huu uwekezaji kibiashara kwenye kambi zetu za JWTZ, nani kauruhusu?

    Salaam ipo mwishoni Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu Lugalo pembezoni mwa shule ya Makongo uelekeo wa Mwenge kuna yard kubwa ya mjezi wa barabara imejengwa ndani ya Kambi...
  11. JamiiForums Tanzania Nani anahitaji kuponywa kati ya Samia na Taifa?

    Juzi, Samia alisikika akijigamba kuwa aliunda wizara ya vijana ili kuiponya taifa. Je, kati yake na taifa, nani anastahiki kuponywa kwanza na je, alimaanisha nini au ni tambo tu.
  12. JamiiForums Tanzania Nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi?

    Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria. Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo...
  13. JamiiForums Tanzania Ni nani huyu Grace Matage?

    Vyombi vya habari na mitandao ya kijamii inamfahamu kama mkurugenzi wa RHG company, kampuni inayohusika na Clearing and fowarding na ni mawakala wa forodha. Hili jina leo nimekumbuka ile kesi ya askari waliohusika na unyang'anyi wa milioni 90 za huyu mama grace matage. Kesi ya mwaka 2023...
  14. JamiiForums Tanzania Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
  15. JamiiForums Tanzania Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu

    Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu. Kila mmoja anajua kuwa wao ni njaa wameokotwa okotwa huko ila wenyewe wapo serious wakijitoa akili kwamba hatujui kuwa ni wapumbavu walio okotwa huko. Hawana elimu, hawana...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake? Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Samia amtambulisha mwanae Wanu Hafidh kwa bwebwe. Geuka wakuone, hawajakuona, anafanana na nani .?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 09 Januari, 2026.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wengine wanaandika naongea kwa kufoka foka nitachukiwa, nani kawaambia nimekuja kupendwa?

    Dongo la Mwigulu siku ya leo 😂 😂 😂 😂
  19. JamiiForums Tanzania Aibu iende kwa nani juu ya huu upuuzi unaofanyika? Watu makini hawezi kufanya maandamano ya kipuuzi kama haya

    Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa. Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu. Pili hili dhehebu halikubaliani na...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi wee muacheni apumue ajiuzulu, kwani nani alimchagua!

    Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi. Rafiki yangu wa Siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…