namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Namna ya kupata vibarua na ajira za muda mfupi

    Tunaishi kwenye dunia ya utandawazi. Mara nyingi nyumbani hatuna kazi nyingi kila siku. Tulilazimika kuajiri wasaidizi na kuishi nao kwasababu za kiulinzi na usalama. Sikuhizi apartments nyingi zina uhakika wa ulinzi na usalama na hivi vyote vinakuwa sehemu ya kodi. Zile kazi za kufua kama...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuondoa kidney cyst bila kufanyiwa upasuaji

    Wakuu, Kichwa cha habari kinajieleza,nimekuwa na maumivu kwa muda mrefu ya mbavu upande wa kushoto,juzi nilikwenda hospitali kupima,walinipiga ultrasound na dokta aligundua kuwa kwenye figo yangu ya kushoto kuna kiuvimbe kidogo 2.5cm×2.9cm kinachoitwa kidney cyst. Nilipewa dawa ya kutumia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuingia deep web & dark web

    NAINGIAJE DEEP WEB? Kuingia deep web ni rahisi kuliko unavyofikiri. In fact, inawezekana tayari umewahi kuingia deep web ila hujui kama uliingia. Sema tu watu wengi wanashindwa kutofautisha baina ya DEEP WEB na DARK WEB - majina mawili yanayofanana lakini yenye maana mbili tofauti. Bila shaka...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi wa CCM rudisheni utaratibu wa awali wa namna ya kumpata Mbunge, wapatikane 3 kisha ndio wapigiwe kura za maoni. Hili la Kawe ni somo tosha

    Uongozi wa CCM muda bado mnaweza kufanya mabadiliko rudusheni utaratibu wa zamani ili kumpata mbunge bora, ule utaratibu wa mwanzo wa watu kupimwa kwanza na Kamati husika kabla ya kura za maoni ndio unafaa kisha zipatikane 3 bora zikapigiwe kura za maoni na Wajumbe wa Halmashauri ya Jimbo...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujuzana namna ya kufanya chochote

    Unataka kujua/ kufahamu namna ya kufanya jambo fulani? Au unafahamu namna ya kufanya jambo fulani? Karibu tushirikiane, tupeane ma-tricks na solutions kwaajili ya kurahisisha maisha. Na mimi naanza kama ifuatavyo: NAMNA YA KUTUMIA BARUA PEPE (eMail) MOJA KWA AKAUNTI NYINGI ZA TWITTER. Kama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…