namba ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  2. Una namba ya simu ya nani ambaye hutakaa uisahau?

    Hii inatokana na umuhimu wa mtu huyo au watu hao kwako.. Mwenzenu toka mwaka 2004 nikiwa bado primary school, enzi hizo tunatumia simu za kukoroga (za Ttcl), kama hii pichani Mwenzenu hapa ndio niliweza kuiona namba ya simu ya Kaka yangu ambapo baba mdogo alikuwa akimpigia mara kwa mara...
  3. Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
  4. Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu. Nilishaandika kuhusu “Kuona location, sms & calls za mtu...
  5. Mwanamke akikupatia namba yake ya simu, maana yake ameridhia kufanya mapenzi na wewe

    Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti ya mwanadada ambaye nimezoeana nae, tu majilani! Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano...
  6. Kuwa na namba ya simu iliyozoeleka ni mtihani kwa maisha haya

    Teknolojia ni nzuri na kwa mawasiliano haya ya simu, yamesaidia sana watu kuwa kama kijiji kimoja au familia moja. Ila swala la simu ila kimtazamo naona ni sawa na kufunga pingu pale unapo kuwa na namba ambayo umekaa nayo mda mrefu kwenye maisha yako. Namba hiyo unakuta ndio unatumia kipindi...
  7. Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  8. Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
  9. Kuna binti alinipa namba ya simu ila naona hatoi ushirikiano wa mawasiliano

    Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap! Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE shida itakuwa nini apo au anataka kubembelezwa?
  10. Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

    Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu. [emoji117] MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
  11. Mpaka leo hajanitafuta, nakosa usingizi kabisa

    Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni. Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa...
  12. Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

    Habari gani wadau na wanajamvi wenzangu wa jamvi pendwa la MMU? Eti mtu nimekuwa napiga naye stori kila mara kwenye ki glosari kimoja hivi. Sasa nikawa nimemuelewa, huyu dada ni mzuri kusema ukweli halafu anakamwili fulani portable sana yaani [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]. Nikawa...
  13. Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

    Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa. Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane...
  14. Kwenu wanaume, ukiomba namba ya simu usipopewa elewa

    Habari wana MMU, Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa. Namba umekosa unaanza kumfata mtu unalazimisha uende anakokwenda akisimama unasimama akikatisha upo na maswali kama polisi kwani lazima...
  15. Jinsi ya kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi

    Nahitaji msaada. Hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu. Mtu unawezaje kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi. Najua inahusiana na namba 3 za mwanzo. Mnaweza kuorodhesha namba zote na mitandao yake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…