naibu waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eronda

    FALSE Video showing an old man being dragged by security shows Gen. Moses Ali

    The video shows an old man who is being dragged by security forces in Kololo independence ground. Many people are mistaking the old man to be Gen. Moses Ali current Member of Parliament Adjumani West Constituency . However, that does not seem to be Gen Moses Ali but another old man who wanted...
  2. R

    Rais wa Ivory Coast amteua kaka yake kuwa Naibu Waziri Mkuu

    Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, hatua inayoashiria mwendelezo wa uongozi baada ya ushindi wake mkubwa katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 2025. Mabadiliko makubwa zaidi ni uteuzi wa ndugu yake, Waziri wa Ulinzi Tene Birahima Ouattara, kuwa...
  3. BIG BROTHER ALEX

    MAMA NAIBU WAZIRI MKUU NAOMBA APEWE HUYU

    mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
  4. The Father of All

    Tuliwaonya kuwa kikatiba, hakuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu mkatudharau

    Kwa waliosoma katiba ya nchi vizuri, hatuna cheo cha naibu waziri mkuu. Hicho cheo feki kwa mara ya kwanza, kilitumiwa na Ali Hassan Mwinyi kumpoza Augustine Mrema na mara ya pili ni Samia kumzuga Dotto Biteko ili watu wa Magufuli wamtafutie kura halafu awabwage kama alivyofanya. Ukiangalia...
  5. Richard

    Tetesi: Je, Rais Ruto kumsogeza karibu Gideon Moi mtoto wa hayati Danile Arap Moi na kumteua kuwa naibu waziri mkuu?

    Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni kiongozi wa chama cha KANU na ni mtoto wa aliekuwa raisi wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi ambae...
  6. N

    Waziri wa Nishati ieleze nchi kwanini tuko gizani? Huku Arusha tulilala gizani

    Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo tena umekatika kuanzia mida ya saa 5 asubuhi mpaka sahizi haujarudi. Kuna tatizo gani tuelezwe maana...
  7. Ziroseventytwo

    Moses Alli, Naibu waziri mkuu wa uganda ana miaka 88. Africa nani katuroga?

    Kwa sasa ana miaka 88. Bodo yupo serekalini kama naibu waziri mkuu huko Uganda Aliwahi kuwa Mwanajeshi. Ni mwanasheria kitaalam na mwanasiasa. Kwa sasa anaonekana kabisa ana shida kubwa ya kiafya inayopelekea kuwa kama zezeta na mwili wake umekosa balance kiasi cha kushindwa kutulia anapokuwa...
  8. mwanamwana

    PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo. "Ninachoweza kusema kuhusu uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu...
  9. K

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa maji msilikubali hili.

    Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal. 1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani. 2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo...
  10. S

    Kwanini Biteko hapewi nafasi bungeni kujibu hoja kama Naibu Waziri Mkuu?

    HOTUBA YA WAZIRI MKUU inajadiliwa Bungeni na mawaziri mbalimbali wanajibu hoja kwanini Dotto Biteko hapewi nafasi na Spika kujibu hoja za wabunge kama Naibu Waziri Mkuu? Nimefuatilia sana suala hili nimeona nije huku niwaulize wajuzi wa mambo maana hata siku anaapishwa tuliambiwa atakuwa ndiye...
  11. Mindyou

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko: Tuna wanafunzi waliomaliza kidato cha 6 na digrii lakini hawawezi kupika chakula

    Akiwa anazungumza leo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Miaka 50 ya Veta iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kujipikia chakula chake...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  13. U

    Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  14. Tlaatlaah

    Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu, Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa...
  15. TRA Tanzania

    Dar eS salaam: Naibu Waziri Mkuu ameshuhudia utiaji saini kati ya TRA na TCCIA

    Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania, (TCCIA) katika kuboresha uhusiano na walipakodi. Halfa hiyo imefanyika...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa tutashinda

    Wakuu, Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist ===== Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
  17. Suley2019

    LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ajitokeza kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Geita

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
  18. Gabeji

    Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko acha unafiki wewe unaacha lini siasa?

    Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
  19. B

    Ziara ya Naibu Waziri Mkuu Kibondo: Mbunge Samizi aeleza Bilioni 58 za Rais Samia za miradi

    Zaidi ya shilingi bilioni 58 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika jimbo la Muhambwe. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa miundo mbinu ya Barbara, vituo vya afya, maji na ujenzi wa shule za msingi na sekondari. Amebainisha hayo Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma...
  20. D

    KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
Back
Top Bottom