nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Haichukui nafasi ya Daktari

    HAICHUKUI NAFASI YA DAKTARI usizidishe message juu ya message ambayo haijajibiwa especially ya mpenzi usilete unyonge - Haichukui nafasi ya daktari usitume na ya kutolea kama Kila siku anakupiga kalenda -Haichukui nafasi ya daktari mara moja moja kunywa bia mbili kalale - Haichukui nafasi...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Graduate Trainee AutoXpress

    Nimepata kutumiwa hii kitu na mfanyakazi wa AutoXpress hivyo kama kuna graduate wa mwaka 2023 na mwaka huu. Wafanye kuomba!
  3. JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
  4. JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Yanga atamaliza ligi nafasi ya 3

  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Pamba Fc

    Kazi kwenu wenye sifa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

    Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi( 3)

    " New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053"
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Nimesanuka, mitaa yote niliyokaa Viongozi wa Serikali za Mitaa ni Wazee, kwanini Wanawake na Vijana hatuzishobokei nafasi hizi?

    Salaaam Wakurungwa, Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi...
  11. JamiiForums Tanzania Artisan II (Plumbing And Pipe Fitting) at TBS

    TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) at TBS October 2024 TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania • Full-time Job description Job type: Full-time POST ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) – 1 POST EMPLOYER Shirika la Viwango...
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za kazi

  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua akana kudai Ksh.8B ili akubali kuachia nafasi ya Naibu Rais wa Kenya

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri. Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

    https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09 Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

    Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria. Endapo...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wonderwell Daycare and Nursery School

    Uongozi wa Wonderwell Daycare and Nursery School Daycare iliyopo Mikocheni unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto. Shule ni mpya na Usaili utafanyika kuazia jumatatu, mwalimu afike shuleni akiwa na nakala za vyeti vya kitaaluma na wasifu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Treni ya SGR Dar-Moro inasafiri na nafasi wazi zaidi ya nusu wakati awali tiketi zilikuwa zinaisha siku 1 kabla; Tatizo ni nini? Ushahidi huu hapa

    Habari wanabodi Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi. Utafiti wangu nilioufanya kwa siku kadhaa kupitia mfumo wa mauzo ya tiketi na kuuhitimisha tarehe 25 Sept 2024, dakika 25 kabla...
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi ya ajira; Kazi ya kuuza mabegi

    Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na hesabu za hapa na pale 2) Umri asizidi miaka 25 3) jinsia awe wakiume 4) Awe...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  20. JamiiForums Tanzania Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…