nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Prophet Denis Tanzania: Tundu Lissu amebeba ajenda ya Mungu ndani yake. Asipopewa nafasi, hasara sio yake bali ni ya taifa na nchi...!!

    https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb ➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...." ➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa.. ➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Sales and marketing Associate

    We are a building material company supplying high quality building materials Role Description This is a contract hybrid role for a Sales Associate . The Sales Associate will be responsible for day-to-day sales tasks, including prospecting, client meetings, and closing deals. The role is for...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira zinasimamiwa na taasisi badala ya utumishi, wasio na connection wanatoboa hapa ?

    Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA. Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao Wasio na connection wanatoboa hapa ? Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

  5. JamiiForums Tanzania Kipi hasa kina mnyima nafasi mwalimu wa Economics asifundishe somo la business study ??

    Wakuu natumaini mpo salama ,, moja kwa moja kwenye mada .. Ni hivi katika ajira hizi zilizotolewa na utumishi hivi karibuni ,, nimeona walimu wa Economics wakizuiliwa vikali kuomba nafasi ya kwenda kufundisha somo la business study ( commerce ) .. Somo la bussiness study Hili ni somo...
  6. JamiiForums Tanzania Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  8. JamiiForums Tanzania Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
  9. JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

    Wanaume mpo? Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka. Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume. Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  12. JamiiForums Tanzania JWTZ, tulindieni heshima yetu yalindeni maslahi yetu DRC-Congo

    Afande G. Mkunda Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi katika ukanda wa east na south Africa ni fedheha kuona mgogoro huu unaendelea na Sisi tumekaa tuu bila...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chawa wanasema 2025 wanaenda na mama, ingawa hawajui wanaenda wapi

    Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop. Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja. Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine. Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna. Chawa wamekua kirusi...
  14. JamiiForums Tanzania RC wa DSM Chalamila ajiuzuru haraka sana hio nafasi ya ukuu wa mkoa wa DSM

    Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,. Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
  15. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kiume na nafasi ya mwanaume kwa sasa ndani ya familia zetu

    Hello jamiiforum Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025. Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu. Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
  16. JamiiForums Tanzania Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

    Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
  17. JamiiForums Tanzania John heche anatosha kuwa raisi lissu mpe nafasi huyu mtu

    Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
  18. JamiiForums Tanzania Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

    CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anamwogopa nani kugombea nafasi ya Urais kupitia chama?

    Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis. Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama ambavyo Sheria, Kanuni na Taratibu za utumishi wa umma zinavyoelekeza. Waziri Mchengerwa ametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…