nafasi ya kazi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi pharmaceuticals dispenser

    Mimi ni mdada nina umri wa miaka 21 Nmemaliza chuo Cha Excellence college of health and allied sciences mwaka huu Diploma in pharmaceutical Nlkuwa natafuta kazi ya pharmaceuticals dispenser Dar es salaam Mwenye connection naomba ani pm CONTACT +255 713 438 532
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtaalam wa maabara

    Kama umesomea fani ya maabara, una vyeti stahiki, umesajiliwa na baraza na una cheti cha usajili, ni muaminifu na mchapa kazi, unahitaji kazi na uko dar nicheki PM haraka nikupe connection. Asante.
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva

    Company Driver - Dar Es Salaam, Tanzania MUST BE ABLE TO START THIS WEEK. MUST HAVE EXPERIENCE AT A REPUTABLE COMPANY Purpose of the position: To ensure all company vehicles are taken good care, cleaned and driven according to company policy. We be supposed to deliver all company mails to...
  4. JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Graphic Designers at Jamii Forums

    Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya house girl

    NAFASI YA KAZI YA HOUSEGIRL Anahitajika mfanyakazi wa ndani (mwanamke) House Girl mwenye vigezo vifuatavyo: 1) Mtu mzima wa umri miaka kuanzia 30 mpaka 36 2) Awe na ujuzi wa kazi zote za ndani ikiwa ni pamoja na usafi na kupika 3) Ajue kuongea English na uzoefu wa kufanya kazi na wageni (...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  7. JamiiForums Tanzania Una uzoefu na uoshaji wa magari? Nafasi ya kazi hii hapa

  8. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ict-instructor (2 posts)

    VACANCY ANNOUNCEMENT: BACKGROUND INFORMATION: KOMU College of Technology and Management (KCTM) is one of the ICT reputable College in Tanzania offering ICT professional and academic programs. The college is located in Mbeya city. The Principal is pleased to announce two vacancies for ICT...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo

  12. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Sales and Marketing

    Sales and Marketing (3 positions) Dar Es Salaam Morogoro Mbeya Three People with At least Diploma who can do Sales and Marketing. The Candidate should be fluent in English and Swahili. Should have high convincing skills. Should be Innovative and creative in Sales, Marketing and Self-Management...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Secretary

    Kuna ofisi inahitaji Secretary Elimu kuanzia diploma. Miaka kati ya 22 - 34 Awe na uelewa mzuri wa lugha ya Kiswahili na Kingereza ( kusoma, kuandika na kuongea ) uwezo mzuri wa kutumia computer (microsoft office ) Eneo la kazi ni Dar es Salaam. Tuma maombi ambatanisha na CV tu. Mwisho wa...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi GSM: Business Development Manager

    Position: Business Development Manager Reporting to: General Manager dotted line to Chief Commercial Officer Responsibilities: Oversee entire sales of GSM Home Products countrywide channeled to Key Accounts Understand requirements and champion bidding process to win tenders from...
  15. JamiiForums Tanzania Ombi la nafasi ya kazi ya Ualimu katika shule au taasisi yoyote

    Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya Jografia na Kiswahili. Kwasasa naishi Dar es Salaam, natafuta shule iliyopo mkoa wowote yenye uhitaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Singida

  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Busega

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l701533/01,,B"l 34 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kutokana na hali...
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    Wepostnow tuunatafuta waandishi wa kujitegemea kujiunga na timu yateu.Utaweza kupata hadi kiasi cha shilingi 460,000 kila mwezi (200$). Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza. Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya muda (temporary)

    Habari? Nahitaji vijana wawili (wakike na kiume) kwa ajili ya kunifanyia kazi ya kutuma email kwa baadhi ya wateja wangu (email marketing) kulingana na orodha ntakayowapa. - Kwa siku wanatakiwa kutuma email 100 - Kazi ni ya siku 30 na malipo yake ni TSH 200,000 - Watahitajika...
  20. JamiiForums Tanzania Internship Opportunity Marketing Officer

    INTERNSHIP OPPORTUNITY Position: Assistant Marketing Officer ECOACT Tanzania, is a social enterprise based in Tegeta DSM, Our core business is transforming plastic garbage to manufacture plastic timbers used for building, construction as well as furniture making. Requirements: a) Diploma/...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…