Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani.
Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi, gereza, usalama ,TAKUKURU, uhamiaji na JWTZ
Tunaweza kutofautiana kwenye masuala mengi ila linapokuja suala la uhai wa binadamu tunatakiwa kuongea lugha moja. Bado nazidi kuwashangaa waTanzania wenzangu waliokubali kuaminishwa na mfumo kwamba waTanzania waliuliwa barabani kama mbwa ni wahalifu na walistahili kuliwa kinyama...
Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine.
Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa.
Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake.
Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo:
MAKIPA:
Aishi Manula...
Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza.
Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa.
Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara.
Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa lazima uwe na nidhamu, ukigonga wenzako basi ujue fedha ya taa na bampa zinakuhusu.
Sasa hivi kila basi...
Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia..
Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020..
Ambao Ulikuwa...
Siku ya Mtandao Salama ni mpango wa kimataifa unaofanyika kila mwaka kila Jumanne ya pili ya mwezi wa Februari, ili kuongeza uhamasishaji kuhusu matumizi salama ya mtandao. Ilianzishwa mwaka 2004 na tangu wakati huo imekuwa tukio muhimu linalowahamasisha watu kote duniani kufikiria kuhusu...
Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - kipi sijasikia
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Marlaw - Pii pii
AY - Leo remix
Mr Blue - Baki na mimi
TID na...
Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Paskas Muragili amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo Jumatatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.