Wadau, hivi karibuni nimeshuhudia changamoto kubwa ya fedha za sarafu hasa za Tshs 200, 100 na 50.
Biashara nyingi sasa hivi ni ugomvi kutorudishiwa chenji kwasababu ya kutokuwepo na sarafu.
Binafsi nimefuatilia maduka makubwa hadi sasa yanadiriki kujaza pipi na big G kwenye madroo ya fedha...
Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors.
Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
Nilikuwepo Atown 2011 hadi 2016 -
Maendeo niliyoishi ni Njiro mitaa ya double B karibu na kituo cha polisi, Lemara, Relini karibu na bwawa la maji taka na Njiro Tanesco.
hali ya usafiri imeboreshw ? Muda huo wote nilikuwa napanda vifodi na hiace, sikuhizi kuna mabadiliko ? ile stendi kuu ya...
Ningependa kupewa ufafanuzi wa kiuchumi ni hali ipi huwa ina unafuu
A. Mzunguko wa pesa kuwa mdogo ila bei za bidhaa / huduma ni kawaida.
Awamu hii ilisifika kwa msemo maarufu vyuma vimekaza, mzunguko wa pesa ulipungua kwa sababu biashara nyingi zilifufungwa ama kusua sua, hakukuwa na ongezeko...
Wana Iringa habarini,
Vipi ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.
Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
Bondia wakuu.
Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema.
Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.