Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro.
Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo wanazidi kuhitimu na kurundikana mtaani pila kujua hatima yao wapi watatumia elimu yao waliyoipata...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaahidi wananchi wa Mkinga kuwa katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 kupitia TARURA itatengwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 16 kwa kiwango cha changarawe, ambazo zitaunganisha Chuo cha...
Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe.
Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira zinazotangazwa.
Baada ya malalamiko kwenye usaili wa 2023, wakaamua kuacha hata kuweka hadharani majina ya...
Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A.
Hii...
MODE OF APPLICATION
Application letters accompanied by a detailed Curriculum Vitae (CV) with a passport size
photograph and signed by the applicant; and copies of relevant certificates and transcripts should
reach the undersigned electronically through the Recruitment Portal, not later than two...
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!!
Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani?
Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza.
Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa)
Tazama hiyo video hapo chini...
act
babalevo
ccm
chadema
chawa
chuo kikuu
diamond
elimu
kusoma
mafwele
mtaani
mwanachuo
mwijaku
mzumbe
nyege
rais
samia
simba
singeli
tanzania
udsm
umoja
veta
vijana
wassira
wazalendo
yanga
zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.