mzima

Mzima Springs are a series of four natural springs in Tsavo National Park, Kenya. They are located in the west of the Park, around 48 km from Mtito Andei. The source of the springs is a natural reservoir under the Chyulu Hills to the north. The Chyulu range is composed of volcanic lava rock and ash, which is too porous to allow rivers to flow. Instead, rain water percolates through the rock, and may spend 25 years underground before emerging 50 kilometres away at Mzima. The natural filtration process gives rise to Mzima's famously clear stream, which flows through a series of pools and rapids. Two kilometres downstream from the springs, the stream is blocked by a solidified lava flow and disappears below the surface again.
Mzima is one of Tsavo's most popular wildlife attractions owing to its resident populations of hippos and Nile crocodiles. Mzima's isolation makes both species are dependent on its waters: other sources are too distant for them to reach by overland travel. The hippos also sustain an entire food chain. They browse the surrounding savannah by night and return to Mzima's pools by day, where their dung fertilises the water. Fruiting trees such as date and raffia palms, waterberrys and figs grow beside the water, using their submerged roots to absorb nutrients. Their fruits are a source of food for vervet monkeys and a variety of birds. Below the water's surface, the invertebrates which feed on the hippo dung are preyed on by fish and cormorants.The springs were made famous by wildlife film-makers Alan and Joan Root's 1969 nature documentary Mzima: Portrait of a Spring, which featured underwater footage of the hippos and crocodiles. They were also the subject of the Survival Special Mzima: Haunt of the Riverhorse in 2003, which featured the first footage of a hippo infanticide.In 2009, a prolonged drought proved catastrophic for Mzima's wildlife. Starving game animals were driven to permanent water sources in their thousands, bringing them into competition with the resident hippos. The grassland surrounding the spring turned to desert and hippos began starving to death. In September 2009, only five remained, down from 70 in 2003, and journalists reported seeing carcasses floating in the pools.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ngozi ya mwili haiharibiki hata usipojipaka mafuta mwaka mzima

    Mwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji mume mtu mzima

    Hello, nahitaji mume mtu mzima, miaka 45-78. Mwanaume mtu mzima ambaye yuko tayari kuwa na mimi anicheki WhatsApp kwa maongezi zaidi 0747855329. UNAPOKUJA PM ZINGATIA MAELEZO.
  4. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wakizeeka huwagombanisha ndugu wa ukoo mzima

    Je, kwenye familia au ukoo wenu ulikutana na huu mkasa? Wapo watu ambao wakizeeka hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea, wanandugu mtapitia kipindi kigumu sana ambacho kama nyinyi hamtomuelewa mtaishia kugombana nyote, na hamtoelewana abadan. Anaweza kuwa baba, mama, bibi, babu, dada...
  5. JamiiForums Tanzania Major Claude NDIKUMANA wa jeshi la Burundi, akamatwa akiwa mzima na M23 huko Kivu kusini

    Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba. Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
  6. JamiiForums Tanzania Warembo wanatumia karibia mwezi mzima kuenzi siku yao. Huu muda wote wakumbushane usawa wanaoutaka wautumie pia kuchangia katika matumizi equally

    Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara. Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs. Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
  7. JamiiForums Tanzania MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Mwanamke kwa Mwezi mzima ana Siku 5 tu za Yeye kupenda 'Kungonoka' na zinginezo huwa anatimiza tu Wajibu kwa Mwanaume wake?

    Kama hii ni kweli Kitaalamu basi huenda Wanaume wengi tukawa tunatimiziwa nao tu Wajibu japo huwa tunajitutumua.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  10. JamiiForums Tanzania Tabora timu yao Iko vitani wao wanamshangilia adui uwanja mzima wamevaa nyekundu, nani awaambie Tabora ikishuka Simba hawataiona tena

    Somo la uzalendo limekuwa gumu sana hapa kwetu ,wenzetu huko epl na ulaya yote kwa ujumla timu ya nyumbani inapocheza hata na timu kubwa unayoishabikia uzalendo ni kuvaa jezi ya timu ya nyumbani ,skafu za timu ya nyumbani kuishangilia timu yenu ! Hakuna faida yoyote wakayooipata tabora ikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Graduates wa kibongo Bana. Yani graduate mzima eti anawasikitikia watoto walio pata zero form 4

    " Masikini watoto wa Kayumba za Likud wamepata zero kibao duh ndio kwisha habari Yao" Kuna watu kadhaa wame nitag kunikejeli Kwa hoja hii..cha ajabu ni kwamba watu hao wana jiita graduates eti🤣🤣🤣🤣 Kama wewe ni graduate, halafu unamsikitikia alie pata Zero form four Kwa kuona kwamba maisha...
  12. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani, sasa unaliamini tofauti kabisa na vile ulivyokuwa ukiliamini kabla hujawa mtu mzima?

    Wakuu natumaini mu wazima wa afya,.... Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale inapobidi,... Kwangu mimi , nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikiwaona WATU WAZIMA wakiongea PEKE YAO njiani, basi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania TRA Portal, ni mfumo mpya unaohitaji Elimu ya kutosha na maandalizi ya mwaka mzima

    Habari , Nimepata taarifa kuwa, T.RA inawatangazia Watu kuwa Kuna mfumo mpya unatakiwa kuanza matumizi mwezi February 2025, Mfumo huu unampa access ya Moja Kwa Moja mteja mwenye tin namba kuweza kubadili umiliki wa chombo chake direct kupitia mfumo mpya wa T.RA Portal . Pia upatikanaji wa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa mtu mzima kunanifundisha kuwa kuna haja ya kuwa na mganga wako

    I will be short Humanity is hard work We do a lot of mistakes , bila kuwa na mganga wako wa kureverse some things . Stress na mistakes zitakuua . It’s no joke Mimi ni pure Christian . Ila watu wana ni push to the Limit . Unakuwa mwema watu wanataka vita . , Kazini vita , mtaani vita ...
  15. JamiiForums Tanzania Kama umeukaribisha mwaka mpya wa 2025 Kwa kunyonya Uume au Uke inapaswa utambue umeshajipalia Mikosi ya mwaka mzima!

    Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae! Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima ! Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume! Your finished my friend,huu...
  16. JamiiForums Tanzania WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  17. JamiiForums Tanzania Kilio cha mtu mzima

    Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba. Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea! Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance Iko vizuri! Story Iko hivi! Tulitishiana na mdada baada ya kuona mienendo yake sio mizuri! Yeye...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaenda njia panda: Demokrasia vs Udikteta lazima kila mtu mzima achague tupende tusipende

    Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo. Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…