mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  2. Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania na kuipunguzia mzigo wizara ya Nishati

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  3. Msaada wa kutuma mzigo Rwanda

    Habari ya asubuhi? Naomba kupewa namna mbali mbali niweze kufikisha mzigo (simu) rwanda. Leo hii Ahsante
  4. Machimbo ya mzigo biashara ya vifungashio

    Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini. Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata mzigo bei rahisi ndani ya nchi. Tayari nimepata baadhi ya machimbo ya mzigo maneo ya Kariakoo ila...
  5. FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    ||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale, === Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi. Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
  6. Rais Samia fanya mpango utupunguzie wakulima huu mzigo

    Pole na hongera kwa kutimiza majukumu ya nchi. Mheshimiwa rais kilio chetu wakulima ni kile kile. Pembejeo zipo juu sana mama hasa mbolea na inazidi kupanda kila kukicha mpaka kufikia sasa. Urea imefikia laki na elfu ishirini. Mama hii ni bei kubwa sana kwetu wakulima wadogo. Mheshimiwa...
  7. Hii kusema kuwa Waamuzi wanazibeba timu kubwa ni kuwatwika mzigo isiyostahili

    Kumekuwa na mijadala iliyoibuka haswa kwa hizi timu zetu kongwe huku kila upande wakijaribu kutumu kuwa Refa alipendelea timu kubwa. Mbaya zaidi ni pale hata wale wenye nafasi ya kusikilizwa au kuaminiwa kama Makocha, nao wakiingia kwenye mkumbo huo. Inashangaza na kuhuzunisha kwa Mtu Mzima...
  8. Mzigo mkononi, Pesa mfukoni

    WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
  9. Rais Samia na mitihani migumu

    Sijui sana kuhusu awamu nyingine za uongozi, lakini nimemuona Kikwete, nimemuona Magufuli, na sasa namuona Samia. Kati ya Marais hao, siajona aliyepitia mambo mazito ndani ya muda mfupi kumzidi Samia: 1. Kuchukua uongozi kufuatia kifo cha mtangulizi wake. 2. Suala la Corona. Huu umekuwa...
  10. INAUZWA Mzigo wa saa za ukutani @three in one kwa 30,000 tu wahi sasa

    Ni saaa nzuri za kisasa za ainatofautu Zinapatikana kwa bei na fuu Pia mzgo unaweza kutumwa Au kuletewa popote ulipo Kwa galama nafuu wai sasa Mawasiliano ni 0719257400 Niko dar maeneo ya Yombo Dovya
  11. Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

    Habari wadau..! Hii imewakuta watu ninao wafahamu. Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
  12. Nahitaji semi-trailer kupeleka mzigo Zambia

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza. Naomba mwenye gari anitafute PM. Ahsante
  13. Hii Corona ifikie hatua tusibebeshane mzigo

  14. Kwanini ufuate bidhaa au mzigo nje ya nchi?

    Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali. Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa muda, gharama na kujiingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa hatari wa Uviko19...
  15. Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

    Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu halafu unanitukana eti nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha! Mzigo nilikuwa nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitoridhika Ila nataka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake...
  16. M

    Vipi naweza kuagiza mzigo kupitia kampuni ya Alibaba mzigo ukafika salama?

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje ya nchi kupitia alibaba
  17. B

    Elimu bure/elimu pasipo malipo inatekelezeka au ni mzigo kwa walimu ?

    Serikali ya Tanzania kupitia Dira ya maendeleo ya Taifa imelenga kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, miaka minne ijayo. Lengo hilo lilitazamiwa kufanikiwa kupitia sekta ya elimu na mafunzo ambapo ilitarajiwa kuleta maendeleo ya haraka kwa kutumia rasilimali watu iliyoelimika...
  18. J

    Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

    Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa. Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge. Updates; Familia ya mzee Gwajima imemtaka waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mke wa mtoto...
  19. Kwenye hili la Mbowe, vyombo vya Dola mmeitwisha zigo Serikali. Hivi hamjui nini?

    Bado tunalia sana na weledi wa vyombo vyetu vya Dola hasa jeshi la polisi na TIS. Tunajua kua lengo kuu la kumsumbua Freeman Mbowe si kesi ya Ugaidi wala uhujumu uchumi, lengo kuu ni kuzima Mjadala wa katiba Mpya. Kwenye hili weledi umekosekana na mmeitwisha serikali mzigo utakaoisumbua sana na...
  20. L

    Kupiga marufuku masomo ya ziada (tuition) ni sahihi ili kuwapunguzia mzigo wanafunzi na wazazi

    Masomo ya ziada ama tuition yamekuwa yakionekana kama kimbilio la wazazi na wanafunzi wengi, wakiamini kwamba njia hii inatoa fursa kubwa kwa mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake na katika mitihani yake. Lakini kwa nchi nyingi za Afrika mara nyingi walimu wanaofundisha masomo ya ziada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…