mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Vivian Kikii adai hawajashirikishwa msiba wa Mzee wao King Kikii

    1. Watoto wa mke mkubwa wakiongozwa na mtoto mkubwa Vivian Kikii Wanadai hawajashirikishwa msiba wa Baba yao toka utokee. 2. Ikumbukwe Mzee Kikii alikua na Mke zaidi ya mmoja, ambao Mke mkubwa mtoto mkubwa ndio VIVIAN na Mke mdogo, mtoto maarufu ni JESKA. RIP King 'Mswati' BCc: Steve Nyerere -...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wale tusiokuwa na makaratasi ya kukaa hapa state tupeane mbinu za kukwepa mass deporting ya huyu mzee Trump

    Harakati za mtu mweusi zinaendelea Lazima tukubali bepari Trump ameshinda uchaguzi na wazungu wamepiga kura za hasira kwa mzungu wao Biden kukatazwa na kina Obama asigombee Wazungu walikasirika Sana hata wasiokuwa na mpango wa kupiga kura wakajitokeza Sasa tunaoishi hapa bila makaratasi...
  3. JamiiForums Tanzania Ivanka Trump yupo wapi au mzee Trump ashambwaga?

    Huyu mke wa Trump mbona simwoni. Sana kwenye media siku hizi. Kipindi Trump yupo Rais walikuwa wanapendeza mno wakiwa kwenye lile dege wakitembelea nchi kadhaa. Lkn Simeon tena yule mama mzuri sijui kamkorofsha nn mzee bepari. Tumwombe Trump asimsahau kwenye teuzi.
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama; 1. Chadema...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Trump asisitiza kuwarejesha kwao wahamiaji

    Katika mahojiano yake ya kwanza tangu alipate ushindi wake, rais mteule Donald Trump alisema "hakuna bei" kwa mipango yake ya kufukuzwa nchini. Akizungumza na NBC News jana, alisema: Kipaumbele chake cha kwanza ni "kuimarisha ulinzi wa mpakani", na utawala wake hauna "budi" ila kutekeleza...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika

    Staa wa muziki Bongo, Diamond Platinumz leo amekutana na Ramadhani Kasawa maarufu Kama 'Mzee Makosa' ambaye alitamani Kukutana nae baada ya kutazama interview yake kwenye mitandao ya Kijamii akielezea namna alivyofilisika kutoka kwenye Utajiri wakutupwa aliokua nao. Soma, Pia: Anaefahamu...
  7. JamiiForums Tanzania Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

    John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba. Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha. Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Mzee Mwenzangu tumalizie Ungwe(ke)

    Muhenga mwenzangu nichek tupendane kwa dhati au sio.👍
  9. JamiiForums Tanzania Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

    Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Juma katueleza kisa alivyotapeliwa na wanawake huko Facebook

    Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu , sio kama zamani alipokua anatumia kitochi, Hussein anamuuliza kiutani mzee J naona unaperuzi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

    Ona pia Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara? Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mzee atoa machozi kisa mke wake. Watoto acheni ubaguzi badilikeni.

    Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia hela anaimalizia kwa wanawake, pombe etc. ili mradi tu mme wake hasitumiwe hela. Muda mwingine maneno...
  14. T

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Ubungo makoka kutokea Riverside kupitia kwa Mzee wa Upako inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika

    Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika. Jamaa wakijisikia wanafunga barabara hamna gari kupita, njia mbadala ni milimani na ndogo magari hayapishani...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

    MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
  17. JamiiForums Tanzania Yule mzee wa IOC kuna kitu muhimu alìongea ambacho hata Chadema walitakiwa kusupport

    Naam ndg zangu katika Imaaan. Japo kuwa alionekana kama mtu wa ajabu lakini gwiji ĺile la siasa za Chadema alisema masaa machache tu baada ya Zanzibar kusaini mktaba wa kujiunga na IOC ,waarabu wataanza kumwaga matrilioni ya shilingi tayari kuanza ujenzi mpya wa bandari kubwa duniani ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini benchi la Simba wanapuuzia ushauri ninaowapa mimi mzee mutu ya boli?????

    Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege) Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…