mzalendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tanzania tunahitaji Rais ambae ni Mwanasiasa Bora au Mzalendo?

    Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo. Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
  2. Hakuna beberu linalopenda kiongozi mzalendo halisi, wapo kimaslahi sana, usipokubaliana nao watakutoa tu, labda uwe na nguvu kijeshi

    Kwanza kabisa hawa wazungu wapo kimaslahi tu na unafiki wa upendo,ukienda tofauti nao watakutoa tu kwa gharama yoyote. Leo hii na hata zamani angalia vingozi wenye msimamo mkali kwa mabeberu wanavyochukiwa na wao. Fidel Castro alichukiwa sana. KAZI ZAO KUU NI Kwanza watataka utawala wa...
  3. M

    Utabiri: Ipo siku atatokea kiongozi mzalendo hapa nchini atawafunga kamba mafisadi na kuwaminia risasi mchana kweupe

    Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
  4. Huyu kiongozi mzalendo, mwana wa Afrika hakujua kuwa walio karibu naye hawakumpenda na walimtakia mabaya kama ilivyokuwa kwa Thom Sankara?

    Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe. Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo. Alifanyiwa mbaya na mafisadi ambao walikuwa karibu naye na aliuwawa bila hata huruma. Je, huyu...
  5. Tabasamu si mbunge wa kuwa chama tawala jamaa ni mzalendo kwelikweli

    Inasemekana elimu yake ni darasa la saba lkn kwa namna anavyojenga hoja hakika huyu ndugu huko alipo kwa maana upande wa wapiga makofi anapoteza muda wake. Tabasamu kwa aina ya biashara zake na kwa anayoyaongea bungeni ni wazi ni mtu safi na hana makando-kando ndiyo maana uthubutu wa kuyanena...
  6. Mzalendo mtanzania mwenye nia

    Angekuwepo kalikawe huu ukweli angeusema ila mondi wa tandale ameamua kukaa kimya. Leo nimemkumbuka huyu msanii mwanaharakati na mwanasiasa Mzalendo baada ya ukimya wake wa muda mrefu tangia aachie kibao chake cha NASOGEA GOLGOTHA kibao kilichosheheni mambo mengi ya siasa hasa yaliyokuwa...
  7. Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  8. Huyu ndugu yetu mzalendo analipwa na nani?

    Maskani yake kubwa Pale Ubalozi Ostabay NANI anamjua!?
  9. Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

    That's real
  10. Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

    Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu? Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa. Leo hii kila...
  11. Kwa haya aliyoyafanya, Polepole hapaswi kuitwa Mzalendo

    Katika taifa hili mtu ukifikiria sana unaweza weka kuona ni unafki mtupu umetamalaki kila mahali, yaani ni umbeya tu na Majungu ndiyo maisha yetu ya sasa. Yaani Polepole huyu aliyekua anawasiliana wenzake hadharani akiwa mwenezi wa ccm? Huyu huyu Pole pole ambaye alikua ambaye juzi juzi tu...
  12. Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

    Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu! NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30 Usiku na tutakuwa hewani pia! Mjuze na mwingine! https://t.co/HOoJjoCh4K
  13. Nashauri Kambi zote za Jeshi zifungwe Camera Maalum na zisilindwe tu physically na Wanajeshi

    Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo. Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika. Kama Mzalendo leo nina...
  14. Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

    Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
  15. Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

    Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey Polepole? Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini Kiukweli I declare interest kwamba namkubali...
  16. Najivunia kuwa mzalendo

    Habari wakuu hapa tiyari nimelipa kodi ya jengo 2000 nimenunua umeme wa 5000, serikali wamefanya yao! Kimsingi najivunia kuwa mzalendo, maana wapinzani wametuchelewesha sana, mambo kama haya mazuri walikuwa wanayazuia bungeni, wanajifanya kuwatetea wananchi ambao wengi wao hawajitambui! Saivi...
  17. MO Dewji mzalendo

    Mo Kazaliwa Singida Kasoma shule za serikali Kawatumikia watu wa kijijini kwake Kawekeza kwenye nchi yake Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!.. Kila kwenye neema...
  18. Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  19. Shades of Magufuli - Kazi nzuri toka kwa kijana Mzalendo

    Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
  20. U

    Nafarijika sana kumuona mzalendo nambari moja akiwa kazini

    Wadau wa JF Ninafuraha na amani kubwa nimuonapo Malendo Nambari Moja akichapa kazi Matokeo ya haraka Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu KaziIendelee Hongera sana Kiongozi wetu Mkuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…