mwisho wa dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    Wanasayansi Wafichua Dalili za Mwisho wa Dunia!

    Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana. Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa...
  2. P h a r a o h

    Sir Isaac Newton aliandika kuhusu 2060 kuwa mwisho wa dunia

    ‎Wakati wengi wanamkumbuka Isaac Newton kwa kuweka misingi ya physics ya kisasa na kubalilisha jinsi tunavyoelewa ulimwengu kwa ugunduzi wa gravity na laws of motion, watu wachache wanajua kuwa pia alijishughulisha sana na tafsiri za maandiko ya Biblia, hasa kitabu cha unabii cha Daniel na...
  3. Guru Master

    Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  4. T

    Hakuna Mwisho wa Dunia

    Kwa Kipindi Kirefu binadamu wameishi kwenye Uelewa hafifu wa Kuhusu mwisho wa Dunia, hii inaweza kuwa ni kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Kuhusu mwanzo na mwisho wa DUnia asilimia kubwa ya wanadamu uelewa wao kuhusu chanzo cha na asili ya Dunia ni kutokana na vitabu vitakatifu kama Quran na...
  5. Idugunde

    CHADEMA wekeni msimamo huo huo. Hakuna maridhiano mpaka Lissu aachiwe. Kama hawataki wakae na Lissu mpaka mwisho wa dunia

    Unakaa na Lissu gerezani wa nini? Mahakama imeshatoa maaamuzi kuwa ushahidi haufai. Ushahidi ambao Dpp na Wasomi wenzake waliaamini ni ushahidi credible. Sasa wanataka ushahidi gani tena? Basi wakae na Lissu mpaka hii dunia itakapofika mwisho. Msimamo huu mpaka Katiba mpya ipatikane hata...
  6. Genius Man

    Tukio la kupatwa kwa mwezi ni miongoni mwa dalili za kutokea kwa Mungu kufikia mwisho wa dunia

    Unabii umekwisha timia Yesu naelezea baada ya mateso ya wakristo kipindi kile cha rumi ya kale mungu angerudi upesi lakini kuna dalili alizitaja. Mathayo 24:29-30 – Yesu anazungumza kuhusu nyakati za mwisho: “Mara baada ya dhiki za siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake...
  7. Setfree

    Pita hapa uone jinsi AI inavyotumika kutimiza ule unabii unaohusu mwisho wa dunia!

    Yesu Kristo alipokuwa akizungumzia dalili za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alisema maneno haya yenye uzito mkubwa: “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.” (Mathayo 24:14) Kwa karne nyingi...
  8. The redemeer

    Maana ya mwisho wa dunia

    Mwisho wa dunia 1. KISAYANSI: Kwa mujibu wa sayansi, dunia inaweza kufikia mwisho wake, lakini si kwa wakati wa karibu. Baadhi ya nadharia kuu ni: a) Mwisho kwa sababu ya jua kufa: Jua letu linaendelea kuungua na kutoa nishati. Baada ya takribani bilioni 5 za miaka, litapanuka kuwa red giant...
  9. N

    Mwisho wa Dunia kimya kimya

    JINA RASMI LA SIMULIZI: Mwisho wa Dunia Kimya Kimya --- MUHTASARI WA SIMULIZI Najim Kifu, mwanaume kutoka Kigoma, mtaalamu wa historia na mjasusi wa zamani aliyejificha kwenye kivuli cha kawaida, anavutwa tena kwenye dunia aliyojaribu kuisahau. Ujumbe wa siri kutoka kwa mtu aliyedhaniwa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Hizi hapa sababu za kiroho kwanini Afrika itakuwa mkia tu mpaka mwisho wa Dunia

    Hello! Afrika imelaaniwa na inazidi kulaaniwa ndio maana iko nyuma ya mabara yote. Afrika ikisogea km 2 mbele mabara mengine yatakuwa yamesogea km 100 mbele. Kuna vumbuzi zimefanywa miaka 100 iliyopita na Sasa wenzetu wameachana nazo kwamba ni mambo ya kizamani yasiyo kwenda na wakati lakini...
  11. H

    Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

    Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk?? Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu...
  12. Immortal Techniques

    Ni Rahisi kuwaza MWISHO WA DUNIA ni Lini kuliko kuwaza Chadema bila Tundu Lissu nini hatima yake.

    with Due respect, Mbowe kubali kukaa pembeni ni kweli wewe ni mpambanaji hutakatai, muda wako umetosha,
  13. ward41

    Nimeandika sana kuhusu vita zinazoendelea ulimwenguni kwamba ni roadmap ya mwisho wa dunia

    Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum. Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui. Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate...
  14. The dumb Professor

    Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

    Kwa kwenda juu na kushuka chini ulimwengu una mwisho? Wazee wa zamani walijua Kijiji wanachoishi ndiyo mwisho was dunia na hakuna maisha nje ya Kijiji. Baadae maendeleo yakafanya watu wajue hakuna maisha nje ya bara lao na wamezungukwa kote na maji tu. Walipotengeneza meli wakajua kumbe Kuna...
Back
Top Bottom