mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine!

    Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine! Dalili zote za mwanaume ambaye anakutumia zinaanza kuonekana ndani ya miezi 3 ya mahusiano. Shida inakuja tu kuwa, baada ya miezi 3 ya mahusiano, wanawake wengi ni vigumu kuona...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna muda mwingine ni vema kukata tamaa

    Kuna muda mwingine ni vema kukata tamaaa🙄🙄🙄🙄🙄
  4. JamiiForums Tanzania Taa ya ABS kuna muda inawaka, muda mwingine inazima!

    Wakuu msaada kipi nifanye, gari ni Mazda Axela, brake zinafanya kazi fresh! Ila imewahi funguliwa kwa ajiri ya kuweka spacer!
  5. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine domo lako linaweza kuwa shida

    Wakati mwingine domo lako linaweza kuwa shida 😄 🤣 😂
  6. JamiiForums Tanzania Je Kuna tofauti ya mtu kuwa Communist na mwingine kuwa Marxist?

    Karibuni wanasayansi wa siasa na maswala ya kimataifa.
  7. JamiiForums Tanzania IDF wadai kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah Abu Ali

    Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo limesema, Abu Ali Rida, kamanda wa Hezbollah kwenye eneo la Baraachit, kusini mwa Lebanon "ameuawa" katika shambulizi la anga. Jeshi la Israel limesema Rida alikuwa akiongoza shughuli za kigaidi ikiwa ni pamoja na kupanga mashambulizi yaliyowalenga wanajeshi na...
  8. JamiiForums Tanzania Ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu

    Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu. Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je? Unafahamu uliyenaye muda huu kwenye mapenzi anatafuta mwingine ambaye ni perfect kwake?

    Hilo ni swali kwa jinsia zote yaani Me na Ke , Uhalisia ulivo kwanza kwenye mahusiano asikudanganye mtu kua uko peke yako , mwanamke au mwanamme akikueleza uko peke yako huo unakua uongo wa wazi, Hii haijalishi umeolewa, umeona, haujaolewa, Una mchumba , hauna mchumba, Asili ya binadamu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujidhuru au kumdhuru mwingine na kudhulumu uhai wake au wako mwenyewe kwa sababu ya mapenzi?

    Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi.. Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
  11. JamiiForums Tanzania Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel. Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kupewa Mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 720 kutoka IMF

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani shilingi bilioni 720 kupitia utekelezaji wa program ya mikopo nafuu ya IMF ya Extended Credit Facility...
  13. JamiiForums Tanzania Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

    Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat. Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga. Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo lake alijawai kuzibwa. Walikuwa wengi kabla ya General Mpogo na wakaja wengi baada yake ila bado...
  14. JamiiForums Tanzania Siku moja baada ya maafa ya Golani Airbase, inaonesha kushindwa kwa ulinzi mwingine katika kituo cha kati katika eneo la Sharon

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati mwingine wanasiasa natamani kuwapiga ngumi

    Jana nilipita sehemi kulikuwa na kampeni nafikiri Kwa sababu ya chaguzi za Serikali za mitaa. Nikasikia mzungumzaji akisema eti Mh Samia ameshindwa kazi Kwa sababu vifo vya kinamama wanayojifungua viongezeka ..nilitamani kumpiga ngumi aisee. Sasa vifo hivyo Rais anahusikaje Kwa mfano? Maana...
  16. JamiiForums Tanzania Good News: Nimepata watoto mapacha mmoja Benjamin mwingine Netanyahu

    Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa aina ya Mademu wa Kibongo wanaopishana Kutwa pale Kwake Palm Village na huyu Mwingine Stress za Kushea Mrembo na Boss nilijua tu yatawakuta

    Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex. Chanzo Taarifa: manaratv Yaani Mademu wa Kibongo hasa wa Tabata na Sinza wakujue ni Star halafu una Hela wakuache...
  19. JamiiForums Tanzania Inaweza kuwa ni igizo lakini furaha ya maisha ni pale unapokuwa sababu ya kutabasamu kwa mwingine

  20. JamiiForums Tanzania Hezbollah wathibitisha kuuawa kwa kamanda wao, Ali Karaki ambaye ameuliwa na Israel

    Hezbollah imethibitisha Jumapili kwamba kiongozi wake wa juu Ali Karaki aliuawa katika shambulio la anga la Israeli kwenye kitongoji cha kusini mwa Beirut, shambulio ambalo pia liliua kiongozi wa kundi hilo, Hassan Nasrallah. Israel ilisema ilimuua Nasrallah katika shambulio la anga kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…