mwijaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mapingamizi ya Mwijaku dhidi ya Masoud Kipanya kusikilizwa Oktoba 17, 2024 Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Jaji David Ngunyale. Amri hiyo ya Mahakama kuanza kesi ya mapingamizi...
  2. JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei amchana Mwijaku, ampa onyo la mwisho

    Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati akipinga ndoto ya Diamond ya kuwa tajiri namba moja duniani. Fred, mmiliki wa kampuni maarufu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwijaku kayatimba, Diamond Platnumz amjibu ataka mdahalo kuonesha utajiri iwe funzo

    Mtoto wa Tandale, Diamond Platnumz, Mswahili aliyepitia changamoto nyingi kwenye safari yake ya muziki, lakini akatoboa na kuwa nyota mkubwa wa Bongo Flava. Tangu enzi za wimbo wa "Kamwambie" mwaka 2010, uliompa umaarufu mkubwa na kufungua milango ya mafanikio yasiyopimika. Ndoto zake...
  4. JamiiForums Tanzania Maajabu: Mwijaku apendekeza Mfumo wa Uteuzi usiangalie Chawa

    Habari kamili hii hapa Mtangazaji Burton Mwemba, maarufu Mwijaku ameishauri Serikali kuona umuhimu wa kuwa na mfumo mzuri wa kuangalia aina ya upatikanaji viongozi kwa baadhi ya nafasi hasa zile za kuteuliwa na Rais au taasisi fulani. “Kumteua mtu lazima kuwe na utaratibu wa aina mbili...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu Mwijaku anachokifanya kwa Gen Z ni upotoshaji. Maisha si mepesi namna hii

    Kuna haja That Urgent need to have his videos banned in the country. Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu. Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

    Inakuwaje wanajamvi. Hii sasa ni too much. Mhamasishaji, mchekeshaji, mtangazaji, msomi na chawa mkuu maarufu nchini DC Mwijaku the national disgrace katoa mpya huko mitaani New York. Mwijaku ambaye hana mshipa wa aibu na ambaye yuko ziarani Marekani akiambatana na mke wake kafanya vioja vya...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama yampa Mwijaku siku 21 kuwasilisha utetezi wake katika kesi dhidi ya Kipanya

    Jaji David Ngunyale ameahirisha kesi ya Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP) dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku hadi tarehe 24.9.2024. Wakili wa Mwijaku (Wakili Patrick Malewo) ameomba kuongezewa muda wa kupeleka Mahakamani utetezi wake wa kimaandishi dhidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mwijaku aongeze umakini anapokuwa ughaibuni

    Siyo mpenzi sana wa kufuatilia wala kuongelea maisha binafsi ya mtu ila hili naomba nitoe kama angalizo kwa muhusika tajwa ila inaweza kufaidisha na wengine. Mwijaku amekuwa na tabia ya kupost video akiwa huko ughaibuni. Nakumbuka video zake kule Ivory Coast kwenye AFCON kama kumbukumbu zangu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mathias houseboy anayeongoza kwa maisha bora Tanzania

    Mzuka wanajamvi! Houseboy wa Mhamasishaji, mchekeshaji, mwandishi wa habari na msomi mashuhuri nchini DC Mwijaku anayeitwa Mathias ndiye Houseboy pekee anayeongoza kwa maisha bora Tanzania. Kajengewa kabisa kaghorofa severnt quarter pembeni ya jumba la 1.3 billion. Anaishi utadhani siyo...
  10. JamiiForums Tanzania Tunadhamiria kumrudishia Mwijaku mahari yake atupe binti yetu anayemdhalilisha kutwa nzima

    Sisi Wachaga waishio DSM tumeweka kikao na kuwaita wazazi wake na binti waje wa tueleze kama wanafurahishwa na anachokifanya Mwijaku kwa kwa bint Alice Kitendo cha kumuweka bondi bint yetu ni kwamba amemchoka na hamuhitaji ni kheri amtoe kwa msemaji wa yanga bwana ally kamwe Ukiachia hilo la...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwijaku alimuweka mke wake Rehani kwenye mechi ya Simba na Yanga halafu 2025 anataka CCM impitishe agombee Ubunge Kawe, akipita Nitashangaa sana

    Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na kumpitisha Mwijaku ila Wanachama hawatakubali huku mtaani kwani 75% ya Wapiga kura wa CCM ni wamama...
  12. JamiiForums Tanzania Mwijaku vipi, ameshamkabidhi Mke wake kwa Ali Kamwe?

    Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe? Ubaya Ubaya tu. Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wa Mwijaku apewe Maxi Mpia Nzengeli Tafadhali!

    Kwani Mwijaku anasemaje Muda huu? 🤣🤣🤣 Mwijaku tumuachie Kipanya tu wamalizane mahakamani mpaka akili zimkae sawa.
  14. JamiiForums Tanzania Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

    Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
  15. JamiiForums Tanzania Mwijaku: Juzi niligombana na Mke wangu kwakuwa alikaa chooni muda mrefu

    Hivi Mwanaume kabisa Timamu kwa kuwajua Wanawake walivyo na Changamoto zao za Kibaiolojia unaweza kweli kabisa Ukahoji ni kwanini wakienda Vyooni huwa wanakaa muda mrefu? Kuna taarifa fulani niliambiwa kuhusu huyu Jamaa nikawa nabisha ila sasa baada ya huu Upuuzi naanza Kuiamini. Chanzo cha...
  16. JamiiForums Tanzania DC Mwijaku na Baba Levo hizi safari kila mara kwenye nchi zenye historia ya Sembe imekaaje?

    1. Hizi safari kila mara kwenye nchi zenye historia ya Sembe imekaaje? 2. Kwa biashara ipi? 3. Mnasifia wanaume wenzenu Hadi sio. NB: Tunatahadharisha tu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu kweli siyo Boss wa Hamas Ismail Haniyeh kapiga picha karibu na Mwijaku alivyoenda kuhiji?

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh upande wa kulia. Mwijaku ni msomi mhamasishaji na mchekeshaji maarufu sana nchini.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Mwijaku na Diamond Platnumz nani limbukeni?

    Huyu jamaa ingekuwa yupo kabila la wenye misimamo wangesha mchapa viboko kwa mwenendo wake ila utafutaji wa riziki japo sio mwajumwa wa uswahilini. Huyu jamaa kwa sasa kunaweza kumkost japo ndio alikuwa mfano wake.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imewasikiliza Wakenya. Sisi tunajadili Mwijaku na Masoud Kipanya

    Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa. Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini polisi haimkamati Mwijaku ili kupata undani wa tuhuma nzito dhidi ya Masoud zinazotishia usalama wa nchi?

    Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi. Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…