mwijaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwijaku alivyosambaza picha za utupu za Menina nikajua hana akili

    Mwanaume anayesambaza picha za utupu za mpenzi wake,hana akili. Kushinda ile kesi haimaanishi hakufanya,mahakama zetu tunazijua Ukiangalia matwndo yake tu unajua Mwijaku amekulia makuzi ya kuunga unga sana anajifariji kuponya vidonda vya utotoni Toto zuri kama lile mwijaku akariharibia maisha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zawadi ya EID: Mwijaku kulipia jamii Maskini 1000 Kodi za nyumba miezi 12

    Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza awajia juu Mwijaku, Makalla asema 'Mnaiunga mkono No Reform, No Election bila kujua'

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI. Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo. 1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  6. JamiiForums Tanzania Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  7. JamiiForums Tanzania Chawa mwanadamizi Mwijaku atoa povu baada ya TRA kumtaka alipe kodi

    Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣 TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo. Mwijaku baada ya kupata taarifa hiyo akatoa povu. Hajaamini macho yake. TRA nyoosheni hivyohivyo, hakuna kucheka na wowote
  8. JamiiForums Tanzania Mwijaku na Wana Muheza wadeki barabara kama ishara ya upendo kwa Rais Samia

    Wakuu Chawa wa Rais Samia, maarufu Mwijaku ameungana na baadhi ya Wananchi wa Muheza kupiga deki barabara akidai ni ishara ya upendo kwa Rais Soma, Pia: DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia
  9. JamiiForums Tanzania DC wa ILALA Asubuhi kaja na "HALA BI MKUBWA" akishirikiana na Mwijaku, Jioni anakuja na CCTV za zaidi ya Million 500 !!

    Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre...
  10. JamiiForums Tanzania Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

    Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi. Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine. Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi. Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwijaku wa Kenya asema yeye sio chawa tena bali ni Balozi wa Rais Samia. Uchawa unaenda kuwa anguko la Samia!

    Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii? Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini chawa wengi wana makando kando mengi?

    Fikiria Mwijaku, alovujisha picha za ngono akimuingilia yule dada kinyume na maumbile, Hadi Leo Dada hayuko Kwa Raman, Mwijaku akaonekana Shujaa machon pa CCM Leo ndo anaongoza kusifiaaaa . Fikiria Baba levo, huyu vituko vyake tangu akiwa Diwani Hadi Leo ,ni vingi ,naye kaamua Kumsifiaa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu ndiyo ubunifu wa wasanii au ni kujitoa akili?

    Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM. Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya...
  14. JamiiForums Tanzania Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

    Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
  15. JamiiForums Tanzania BASATA wameanzisha kipengele cha "Best Chawa Of The Year" kwenye tuzo. Hivi CCM mnatupeleka wapi?

    Wakuu, Yaani ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ina-propagate hii idea ya Uchawa ionekane ni kitu cha kawaida. Hivi karibuni wameanzisha tuzo za wachekeshaji na ndani yake wanaweka kipengele cha BEST CHAWA OF THE YEAR. Yaani wakati mataifa mengine wana tuzo za mathematicians, astronomers...
  16. JamiiForums Tanzania Mwemba Burton (Mwijaku) alia kwa uchungu Dkt. Nawanda kubambikiwa kesi ya ulawiti, adai wazazi ndio wanaoumia

    Wakuu. Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO: Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kilio cha Mwijaku kuhusu kodi

    Mwijaku ametoa kilio chake kuhusiana na kodi ambapo amedai yeye kama influencer anaingiza Milioni 3 kwa siku lakini hajapata utaratibu wa kulipa kodi. hivyo amemuomba Rais Samia kuwapatia utaratibu wa kulipa kodi kutokana na shughuli anazofanya. Mwijaku amenukuliwa akisema "Kwa siku ninaingiza...
  18. JamiiForums Tanzania Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaondoa kesi ya Masoud Kipanya dhidi ya Mwijaku kutokana na dosari za usajili

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili. Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24.10.2024 kabla hajatoa uamuzi wa mapingamizi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwijaku anusurika kulipa TSh. milioni 500 baada ya Mahakama kufuta kesi ya Masoud Kipanya

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili. Mheshimiwa Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24 Oktoba 2024 kabla hajatoa uamuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…