mwijaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo vipi unadhani wana uwezo wa kushika nyadhifa za juu za kwenye nchi?

    Mwijaku na baba levo vipi unadhani wanauwezo wa kushika nyazifa za juu za kwenye nchi ?
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Burton Mwemba (Mwijaku) apishana na Baba Levo, achukua fomu ya ubunge jimbo la Mvomero

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba maarufu Mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero...
  4. JamiiForums Tanzania Mwijaku ana immunity gani ya kumuwezesha kudhalilisha watu atakavyo?

    Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo. Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji. Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  6. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Mfumo unataka kumtumia, Zitto, HASIMU Rungwe, Mwijaku, na Baba levo Mfumo hauna Adabu kabisa

    Kama kweli Mfumo unataka kumtumia Baba Levo kuvuruga uchaguzi Kigoma mjini Pia mfumo unataka kumtumia Mwijaku kuvuruga uchaguzi Kigoma mjini Bado pia haukuona pontetilaity ya Zitto unataka ashindwe Kigoma mjini aise mfumo unaaribu nchi mchana kweupe Kwamba Mwijaku au huyo Baba Levo ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Burton Mwijaku amechanganyikiwa au amepatwa na nini?

    Msikilizeni hapa anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia! https://twitter.com/lifeofmshaba/status/1929559557958758834?t=8vjMEJIjxKMPmI6X0Q3KGw&s=19
  8. JamiiForums Tanzania Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

    Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
  9. JamiiForums Tanzania Mwijaku amjibu Gwajima, atangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe

    Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Mwijaku anyang'anywe Ubalozi kwenye taasisi zote kisa Binti wa Chuo kudhalilishana

    Akichangia Bungeni leo Mei 13, Jijini Dodoma Mbunge Dr. Thea Medard Ntara Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Vyuo na Vyuo Vikuu ametaka Mwijaku anyang'anywe Ubalozi kwenye taasisi zote kisa sakata la Wanafunzi wa Kike wa Chuo kudhalilishana wakimgombania. Pia, Soma Wanafunzi wa chuo kikuu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali inamkumbatia mwijaku wkt ni mtu asiye na maadili ?

    Mtu hyu amekuwa na matukio mengi ya ajabu mara kurekodi picha za uchi , mara kutembea na wanafunzi mara kudhalilisha wake za watu yaani ni mtu Mjinga mjinga tu lkn ndio huyu huyu anapewaa ubalozi na ma kapuni na kupewa endorsement kubwa na serekali. Leo hii namuona Zanzibar wamemuita aje...
  12. JamiiForums Tanzania Kudadadeki Vita mpya kati ya Manara na Mwijaku imenoga

    "Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara. Chanzo Taarifa: manaratv Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wote Tanzania mngekuwa kama Mke wa Mwijaku hakika Sisi Wanaume zenu tungewapenda Kunakotukuka

    "Wala sina wasiwasi na yaliyomtokea Mume wangu na kwa msichokijua Mimi nilijua mapema kabla yenu na nikazungumza nae na kumalizana nae na sasa tunaendelea na Maisha pamoja na Mapenzi yetu huku tukiwashangaa tu mnaoshadadia na kuzungumzia Kutwa hili jambo. Nampenda mno Mume wangu Mwijaku hata...
  15. JamiiForums Tanzania Tukio la Mwijaku, serikali Imenajisiwa

    Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania. Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia. Ikumbukwe ana mke na...
  16. JamiiForums Tanzania CCM imfute Uanachama Mwijaku Kwa kusababisha Udhalilishaji na Unyanyasaji

    Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana. Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???. Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????. Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hivi video za michepuko ya Mwijaku bado kampuni zitaendelea kufanya naye kazi

    Mpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingevunja mikataba nae. Lakini kwakuwa tupo matakoni mwa dunia chawa ananguvu kuliko proffesa itaisha juu kwa juu. Makelele mengi ya mama...
  18. JamiiForums Tanzania Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

    Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama. Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
  19. JamiiForums Tanzania Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.

    Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.
  20. JamiiForums Tanzania Mwijaku alivyosambaza picha za utupu za Menina nikajua hana akili

    Mwanaume anayesambaza picha za utupu za mpenzi wake,hana akili. Kushinda ile kesi haimaanishi hakufanya,mahakama zetu tunazijua Ukiangalia matwndo yake tu unajua Mwijaku amekulia makuzi ya kuunga unga sana anajifariji kuponya vidonda vya utotoni Toto zuri kama lile mwijaku akariharibia maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…