mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Dkt. Mwigulu umeanza vizuri, kanyaga twende, UDSM tumefurahi na kufarijika

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho. Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Samia kafungua nchi kiuchumi badala ya kuchangamka mmeamua kumsikiliza Mange

    Nchi hii Rais Kikwete aliweza kufungua uchumi uende kwa wananchi, ndipo Watanzania wakafungua makampuni kwa wingi, watu walijenga mpaka maghorofa, biashara zilianzishwa, nyumba za kisasa Tanzania zikajengwa. Magari nayo yakaingia kwa wingi. Watu wakaanza kuishi kama watu. Akaja jamaa mmoja...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hawafiki elfu 10, atuambie anaowajua ni wangapi

    Eti anatuuliza kama tulikuwepo, kama yeye alikuwepo atuambie aliona polisi wakiua wangapi kama hakuwepo na hajui idadi na anyamaze kimya hana tofauti na wanaosema elfu 10. Yeye alijuaje vituo vya mafuta 672 na pikipiki 2,268 vilichomwa moto, alikuwepo? Kama hawataki hata ndugu zao wawazike...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna muda natamani kuuliza kuwa kwanini Mwigulu anajibu hoja dhaifu (sana) jukwaani ila naogopa naweza kutekwa

    “Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......” Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu hauziki na hatoshi kwenye uwaziri mkuu, ila aliteuiwa kwa sababu zifuatazo

    1. Aliemteua mwenyewe pia hatoshi kwenye hicho cheo. 2. Mwigulu ni bingwa wa kujipendekeza na kulamba viatu. 3. Mwigulu ni "yes man", hana gut ya kuhoji maelekezo yoyote, na viongozi ambao ni incompitance wanawapenda "yes men" kwa maana hawawachalenge kwenye maamuzi yoyote. Hawa ndio...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tumwambie Mwigulu, anapodai mikataba imwelekeza mwekezaji na mkandarasi jambazi atumieje hela yake, hiyo ni nonsense na wazimu

    Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu??? Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi. Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia. Umeuza rasilimali ya nchi au...
  7. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mwigulu tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Kama wanakufa njaa waajiri kwenye mabasi yako wawe wanapiga show

    Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu Mwigulu wasanii wafanye kazi na 98% ya waliomchagua Samia

    Ndugu Mwigulu Samia alipata kura million 32 Ndugu Mwigulu wasanii watumie akili yao yote maarifa yao yote nguvu zao zote kufanya kazi. Kama waliunga mkono CCM na CCM inaungwa mkono na watu 32milon Mining'ono yanini? Kuna shida gani ? Ndugu Mwigulu Mchezaji anayecheza Manchester United...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Fanyeni mapitio ya tamko la mali na madeni, ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele

    DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI ▪️Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe na madaraja kwa sababu kuna maeneo ambayo bado rushwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu ni Waziri Mkuu au chawa mkuu?

    Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Mwigulu watanzania tuna Waziri Mkuu Kivuli

    Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa. Ni kauli ambazo zinapaswa kutia moyo, kujenga matumaini na kuzungumzwa kwa umakini mkubwa na sio kuropoka...
  13. JamiiForums Tanzania Japo ni muongo, ila Mwigulu hapa anasema ukweli

    Hivi karibuni, Lameck Madelu Mkumbo au Mwigulu amekuwa na mstari wa kuchusha anaourudia kila aendapo. Anapenda kutuaminisha na kutushauri kuwa 'kuna mchezo' Watanzania tunachezewa na mabeberu. Hili la kuchezewa kamchezo ni kweli. Uongo ni wale anaodai wanatuchezea. Ukweli ni kwamba...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Mwigulu Nchemba ameanza kupigwa fitina kwasababu siyo Mkatoliki

    Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu ni Propokaji/ Mpenda sifa na asiyejua kupangilia maneno, wasipomnyang'anya mic atawachoma sana

    Huyu Ndugu Samia sijajua nani alimshaur8 amteua Mwigulu Nchemba, Huyu Mwigulu hana tofauti sana na Makonda kwenye swala la Uropokaji, kupenda Sifa na kuto jua au kuto pangilia maneni ya kuongea. Mwigulu na Makonda ukiwapatia Mic lazima uinamishe kichwa chini make kuharibu ni dakika zero. Tangu...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Mchumi First Class

    GTs, Napenda kuzungumza na Dkt Mwigulu kupitia jukwaa hili. Sitaki kumuita Waziri Mkuu kwa sababu mpaka sasa uhalali wa serikali ya Dkt Samia kikatiba haupo na yeye anajua kabisa alichokifanya kufanya figisu kubalagaza upinzani hiyo ni ticket ya kuondolewa madarakani kwa njia yeyote na ndicho...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu wacha Porojo na uhuni! Bilion 5 ziingizwe katika akaunti ya MTU bila kujulikana? Kwamba Vyombo (TISS, BoT, FIU etc) ni dhaifu sana?

    Pórojo zenu tumezikataaa. Maandamano yako Palepale !!. Mtajua Watanzania wwanalipwa au vipi
  18. JamiiForums Tanzania Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama Mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora

    Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora. Mtu anaye ongea ongea tu ili mradi anaonekana, anaongea chochote kile hata kama ni uongo yeye anaropoka ropoka tu. mtu kama huyu sio kiongozi bora.
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Mwigulu, This is awkward! The list was long, why single out Gwajima? What about Lisu? And the rest rotting in police cells?

    Mnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima! Jitafakari!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…