mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Mchumi First Class

    GTs, Napenda kuzungumza na Dkt Mwigulu kupitia jukwaa hili. Sitaki kumuita Waziri Mkuu kwa sababu mpaka sasa uhalali wa serikali ya Dkt Samia kikatiba haupo na yeye anajua kabisa alichokifanya kufanya figisu kubalagaza upinzani hiyo ni ticket ya kuondolewa madarakani kwa njia yeyote na ndicho...
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu wacha Porojo na uhuni! Bilion 5 ziingizwe katika akaunti ya MTU bila kujulikana? Kwamba Vyombo (TISS, BoT, FIU etc) ni dhaifu sana?

    Pórojo zenu tumezikataaa. Maandamano yako Palepale !!. Mtajua Watanzania wwanalipwa au vipi
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama Mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora

    Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora. Mtu anaye ongea ongea tu ili mradi anaonekana, anaongea chochote kile hata kama ni uongo yeye anaropoka ropoka tu. mtu kama huyu sio kiongozi bora.
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Mwigulu, This is awkward! The list was long, why single out Gwajima? What about Lisu? And the rest rotting in police cells?

    Mnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima! Jitafakari!
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dkt. Josephat Gwajima kama walivyokuwa wametangaza awali ili aweze kuendelea shughuli zake. Amesema baada ya kutoa msamaha kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, waumini wanahitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwigulu; Hivi ni kweli Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu anajua Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Wanaharakati wanalipwa kuchochea vurugu. Juzi kuna kijana amepewa bilioni 5

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini. Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

    Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap. Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Mwigulu; leo yupo Arusha kukagua “uharibifu”

    Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali. Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike. Pili, tumwone pia...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu na 'PhD' yake, kama kweli anayo, anajua ICC?

    Naona kama bwana Mkumbo Madelu aka Mwigulu Nchemba anaitwa ICC soon. Sijui kasomea nini lini na wapi hadi awe zoba na zwazwa hivi? Hivi, kwanini haoni kuwa amemua kujitupa kwenye tanuri alilokoka Samuya na Kikwkwekwe? Msaidieni jamani wenzake mliomo humu. Niwasilishe.
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba afahamishwe kwamba kukiuka sheria za barabara ni dalili ya maovu makubwa tunayofahamu ndani ya serikali

    Mwigulu Nchemba sasa anazunguka kama waziri mkuu, ingawa hali ilivyo, yuko ktk serikali ilisiyotambuliwa. Ameanza kuonesha kwamba anajali hali za wanyonge, kwamba yeye ni mtu makini, kwamba anasimamia haki. Alichokisema juu ya tabia ya viongozi wakiwa barabarani, tulishajadili hapa JF. Kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dk Mwigulu ana kibarua kigumu kufunika uovu wa Oktoba 29, 2025

    Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Dk Mwigulu Nchemba ana kibarua kigumu kuisafisha Serikali na uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama kwenye maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025. Novemba 24 Dk Mwigulu alifanya ziara...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu punguza press, be professional. Kila siku press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?

    Mwigulu punguza press, be professional, kila siku press, kila kukicha press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini? Tunajua mnajuta kwa mliyoyafanya lakini Wananchi watakuchoka sasa. Move on!
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, Waziri Mkuu hatuna hapa! Ni kichekesho na kasheshe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa Pili hajitambui Tatu hajielewi Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana Tano ni mshamba na limbuken Waziri mkuu hatuna Full stop LONDON BOY
  17. JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwigulu: Acha Ufyatu - Kuharibu Muharibu Nyie, Kuwalaumu Muwalaumu Wale!

    https://youtu.be/SqkZTbIqJ4kBado sijazungumza ninavyotaka kuzungumza kweli; bado natafuta maneno sahihi. Lakini itoshe kusema kuwa walioshinda kwa kushindwa wanataka bado kushindanisha kushindwa! Yaani, wamevuruga wao, wao wametengeneza mazingira ya uharibifu, wao wameruhusu mauaji, wao...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwigulu, zinaudhi, zinakera na kuleta simanzi kubwa, kwa sababu anawafanya watu hawana akili

    Kwa kweli hotuba za Mwigulu zinadhihirisha huyu mtu alivyo mwongo na mnafiki mkubwa. Halafu anaamini watu hawana akili. Watanganyika wanawajua wote wanaowateka na kuwaua Watanganyika; wanawajua wanaotengeneza tume za kihayawani kusimamia uchaguzi bandia, halafu wanaziita tume huru za uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu madai ya Polisi kupewa amri ya kuua raia: Mwigulu ahoji Polisi wengi pia walikufa, nani alitoa amri wauawe?

    Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani! Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…