mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ๐Ÿ•ฐ๏ธ 4:00 Asubuhi. ๐Ÿ“† Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  3. H

    JamiiForums Tanzania British Airways kurejea Tanzania, kuanza safari Mei 2027

    Kampuni ya ndege ya British Airways imetangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Uingereza na Tanzania kuanzia Mei 2027, hatua inayolenga kuongeza usafiri wa watalii na wasafiri wa kibiashara kati ya mataifa hayo. Tangazo hilo limetolewa Oktoba 7, 2026, na Mkuu wa Masoko wa British...
  4. H

    JamiiForums Tanzania ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐— 

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisaji -Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisajili vituo vya wenye uhitaji - Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo leo 5 Oktoba, 2026 alipokuwa mgeni rasmi katika harambee...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Mgeni rasmi Harambe ya Maendeleo ya KKKT

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia. Harambee hiyo inafanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niรฑo

    Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba asimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei wa Kanisa la Anglikana Tanzania

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, amesimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei (Lay Canon) wa Kanisa Anglikana Tanzania katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu Anglikana la Kristo Mfalme Chanika, Dayosisi ya Handeni, mkoani Tanga. Dkt. Mwigulu amesimikwa katika wadhifa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mange Kimambi kuhusu video ya Mwigulu Nchemba inalenga kumtetea Mwigulu

    Aidha wanaharakati wametumika au la, hio sisi haituhusu. Mange Kimambi anashindwa kuelewa kuwa kuondolewa kwa Mwigulu kunaongeza mpasuko ndani ya chama na serikali, na mapasuko unaongeza ugumu wa kuongoza nchi. Hivyo kupuuzia scandal ya mwigulu ety kwa kuogopa kutumika haina maana, kikubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Polisi msifumbie macho watu wanaojichukulia sheria mkononi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya dola. Ametoa wito huo akiwa Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 2, 2026 akieleza kuwa vitendo hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa โ€œConnectionโ€ ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Je, kuna mtu ana uhakika kama ni halisi? Vipi kama ile Connection ni Ai(Akili kinemba).? Kama ni kweli, kwanini anakosa umakini vitani? Ataficha wapi sura yake?๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ Tatu: kama kweli Polisi walimshikilia Mbunge wa CCM Mariam Ditopile kwa wiki mbili kwa kinachodaiwa ni tuhuma za kwamba alihusika...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

    Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
  16. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam. Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  20. JamiiForums Tanzania LIVE: Dkt. Mwigulu Nchemba Bariadi Vijijini

    https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ