mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Waufukweni

    Mwigulu Nchemba: Niliongea na Lukuvi jana tukapanga kikao

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na kupanga mkutano.
  2. H

    Salamu za Eid Kutoka kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    EID MUBARAK Naungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri. Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili...
  3. Chizi Maarifa

    Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba ni Viongozi wazuri sana. Nashauri wapewe nafasi za juu kuongoza Iran

    Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis? Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
  4. H

    Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa

    Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa 📍Nsimbo-Katavi 🗓️Machi 15, 2026
  5. H

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
  6. W

    Ziara ya Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba huko Nsimbo, Katavi

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amefanya ziara mkoani Katavi kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa mkoani humo ikiwemo ujenzi wa shule na hospitali na kuelezea mafanikio yaliyofanyika katika kipindi cha uongozi wa awamu ya sita. Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi...
  7. G

    Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, tusaidie kuzuia huu wizi

    Naandika haya nikiamini utayasoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wanajukwaa JF Sasa hivi nchini kuna makampuni mengi yanayoagiza mali zilizokwisha tumika toka nje. Ni jambo zuri sana kwani huwawezesha wenye kipato kidogo wasioweza kumudu kununua baadhi ya vitu vipya, kununua hivi vya mitumba...
  8. Waufukweni

    Mwigulu: Serikali imeshalipa fedha za miradi, wakandarasi waliokimbia bila kulipa wafanyakazi watafutwe na wakamatwe

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, amesema Serikali tayari imeshalipa fedha zote za utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayoendelea katika maeneo mbalimbali. "Kila eneo ambapo mradi...
  9. Waufukweni

    Mwigulu: Fedha zinakuja lakini kila mgonjwa akienda hospitali anaambiwa akanunue dawa, pale hamna, TAKUKURU chunguzeni

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ameagiza TAKUKURU kufanya uchunguzi kufuatia Serikali kupeleka Fedha za dawa lakini kila mgonjwa akienda hospitali anaambiwa akanunue dawa, pale hazipo...
  10. M

    Mwigulu: Tusinyang'anye watu ardhi kwa kisingizio cha miradi ya maendeleo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amesema kuwa Rais ameshatoa maelekezo kuwa tusinyang'anye wananchi ardhi kwa kisingizio cha miradi ya maendeleo
  11. Waufukweni

    Mwigulu: Mpanda mna Mbunge makini sana, msituletee Mbunge mpya ambaye hajui hata lilipo jengo la Utawala

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kuhusu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Selemani Kakoso ambaye ni Mbungu wa Mpanda.
  12. H

    Ziara ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mkoa wa Katavi

    SASA NI KATAVI, ZIARA YA KIKAZI MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 📆 IJUMAA – MACHI 13, 2026 🕰️ KUANZIA SAA 5 ASUBUHI Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 – Shanwe. 2. Kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya...
  13. H

    Dkt. Mwigulu amjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 12, 2026 amemjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.
  14. BigTall

    Mwananchi amwambia Mwigulu Nchemba "Diamond alituahidi Milioni 60 kuchangia ujenzi wa Shule, hajatekeleza"

    Mwananchi mmoja mkazi wa Mtaa wa Senti, uliopo katika Wilaya ya Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, ametoa malalamiko yake kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, akieleza kuwa hadi sasa ahadi iliyotolewa na msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ya kuchangia kiasi cha...
  15. baz kaiza

    Mpaka umauti unamfikia Magufuli Je Mwigulu alikua na cheo gani? Kama hakua na cheo chochote basi mshapata jibu

    Magufuli pamoja na mapungufu yake yote alipenda watu waadilifu wasio na makandokando ndo maana alivyomstukia kondakta alimweka pembeni na kweli kondakta alikua team mtandao. Je wakati Magufuli mpaka umauti unamfikia huyu Mwigulu alikua ana cheo gani katika serikali ya Magufuli? Kama alikua...
  16. M

    Mwigulu: Mawaziri wekeni kwenye sheria watu anapolipwa mkandarasi, pesa zisizo zake ziende moja kwa moja kwa wale wanaofanya kazi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 9, 2026 akizungumza na wananchi wa Namanyere, mkoani Rukwa ametoa maelekezo kwa Mawaziri kuweka kwenye sheria kwamba mkandarasi anapolipwa fedha zake, zile ambazo si zake ziende moja kwa moja kwa watu waliofanya kazi. Ametoa agizo hilo baada ya...
  17. M

    Vita ya Urais 2030, CCM imeshawasetu Mwigulu na Emmanuel Nchimbi wasiweze tena kugombea urais, January Makamba Out, ni options gani zimebaki?

    Kwa utamaduni wa ccm mtu akishahudumu kwenye nafasi kubwa kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais, vyeo hivyo vitamtosha hadi atapostaafu. Pia kuna utanaduni wa kubadilisha marais kwa dini, akitoka Mkristo ataingia Muislam hasa wa Zanzibar hawa wote walikuwa wanaonekana kuwa marais 2030 lakini...
  18. figganigga

    Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais. Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem.. Anaongea kwa kufoka...
  19. Kipenzi Changu

    Hii ndio Ballistic Missle airushe Pasco Mayalla kwenda JAB na Mwigulu Nchemba

    https://youtube.com/shorts/MEqA4gkHiEk?si=2gsyCugE6mSwPCdL Akirusha huu mtungi unaweza kumuokoa au ndio jamaa wamejipanga hata akileta ushahidi gani lazima wamtungue
  20. Nyankurungu2020

    Mwigulu Nchemba jiulize swali moja tu utendaji kazi wako unaweza kulingana na wa Kassim?

    Namna ya kutatua kero za wananchi. Kutoa maagizo na hata kushughulikia watendaji wa serikali? Waziri mkuu ndie msimamizi mkuu wa shughuli za serikali. Marehemu Sokoine alikuwa msimamizi mkuu wa shughuli za serikali. Maana hata maagizo yake yaliogopwa. Vivyo hivyo kwa Kasim mstaafu ambae juzi...
Back
Top Bottom