Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
Kila akitajwa Majaliwa umati wa wananchi unainuka na kumshangilia kwa nguvu sana.
Hii inamjibu Mwigulu aliyesema yeye hajali kupigiwa makofi wala kupendwa kwani keshapendwa na mkewe.
Nadhani atakuwa mwanasiasa wa kwanza duniani kuamini kuwa kupendwa na mke kunatosha pekee.
Hili la leo ni somo...
Huyu waziri mkuu fake anatembea kujitangaza hakuna matatizo yoyote ataweza kusimamia kwa sitofahamu ya sasa.
Nchi haina mwelekeo kwa sasa. Rais analimhikizia kabla ya muda wake kuisha yeye na machawa wake.
Mwigulu anasubiri na ndoto ya Urais hana jipya na kupoteza pesa za wananchi
Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Songambele (Nsimbo)-Katavi
🗓️Machi 15, 2026
————————————
Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
DKT. MWIGULU ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA KATAVI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ametembelea Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi na kusalimiana na viongozi wa Chama hicho...
Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania.
Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
Mwigulu Nchemba amesema kuwa Sekta binafsi ni muhimu sana katika ukuaji wa Uchumi ila maafisa wa Serikali ni kama wanazidiwa maarifa hadi na wafugaji
Akitoa mfano huo amesema wafugaji mfugo ukivunjika mguu wanaufunga PoP au ndama akiacha kunyonya wanahangaika naye hadi anyonye au mfugo ukikonda...
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Machi 11, 2026 wakati anahutubia katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)
1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya...
Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo leo Wilaya ya Karatu wakati wa ziara ya kikazi, akiwa anamzungumzia mkandarasi wa kigeni aliyepewa kujenga mradi wa umwagilia na kushindwa kuutekeleza, na aliambiwa kunyang'anywa akaishtaki Serikali
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka...
Mwigulu Madelu Lameck Nchemba kama waziri mkuu ingawa hawakushinda ubunge wala urais, anatakiwa awe makini na anachosema vinginevyo haya mambo yatamharibia na siku moja atajikuta katika hatari kubwa ambao hataweza kutoka hapo.
Mwigulu alitoa idadi kubwa ya gas station zilizoharibiwa kama 600...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kali kwa baadhi ya watendaji wanaodaiwa kukaa vikao kupanga njama dhidi yake, akisisitiza kuwa hatishwi na vitisho vya aina yoyote.
Akiongea Leo Machi 04, 2026 na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, amesema kuwa maisha yake yamejengwa...
In Polepole’s voice anasema wahuni sio watu😂🤣 halafu anawataja Rostam Aziz, Kikwete, Karamagi, na wengine wengi.
In Polepole’s voice anadai Kuna Mzee wa tax hapo posta Muda mwingi yeye anabeba bahasha za sanduku la posta ila siku hiyo alipewa bahasha ikiwa na Kodi za kumuua Magufuli kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.