mwenyekiti wa bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngarob

    JamiiForums Tanzania DPP afungua kesi Mahakamani kwa Mwenyekiti wa Bavicha Kahama kwa kusema Patros Katambi hii nchi siyo ya Baba Yako Wala Mama Yako

    DPP amafungua kesi hiyo...ya aina yake ambapo itabidi Polisi wadhibitishe Mahakamani kwamba nchi hii ni ya Baba na Mama yake Patros Katambi... Tunategemea Wazazi wa Patros Katambi watapeleka hati miliki ya nchi ya Tanzania Mahakamani
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuhusu kifo cha dereva wa John Heche

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema ni muhimu taarifa zote kuhusu mazingira ya kifo cha marehemu Maradufu kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu. Mahinyila ameeleza kuwa marehemu alikutwa na fedha taslimu kiasi cha Tsh. 428,000 ambazo alikabidhiwa, huku pia akibainisha kuwa...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mwenyekiti Wa BAVICHA Iringa anakabiliwa na tuhuma za mauaji

    JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne, akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella (33), wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Akizungumza na vyombo vya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pambalu: Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Nyamagana (Mwanza) ameuawa

    John Pambalu ameandika: Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi. Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA abebwa mzobe mzobe wakimzuia kuingia mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

    Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025 Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Pambalu: Ukiwa na laki tatu tukawakamata wajumbe watakuchagua kuwa mwenyekiti wa BAVICHA

  9. J

    JamiiForums Tanzania John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

    Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Ameandika ukurasani X Sabato njema
Back
Top Bottom