mwendokasi mbagala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi Mbagala – Uhalisia wa Wananchi

    🚍 KERO MWENDOKASI MBAGALA 1. Mfumo wa kupanda 🚫 Mwendo kasi za Mbagala hairuhusiwi kugeuza. Ukifika mwisho, lazima ushuke halafu upange mstari upya ili upate siti. 👉 Hii inalazimisha baadhi ya watu kulipa nauli mara mbili, hasa wazee na wenye changamoto za kusimama muda mrefu. 2. Nauli iko...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi Mbagala yaanza majaribio kubeba abiria

    Hii siyo kwamba mtoto anaringishiwa nyonyo wakuu? Jana Ajira elfu 41, leo Mwendokasi Mbagala inaanza kubeba abiria kuna vimatukio flani hivi kama vya kupoza moto. === Ni rasmi mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya pili barabara ya Mbagala (Kilwa), yameanza majaribio leo, Msemaji wa Serikali...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi Mbagala kuanza wiki ijayo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kutoa huduma katika njia ya Mbagala wiki ijayo.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali. Chanzo: Azam TV Pia soma: ~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona?

    Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili tuipongeze Serikali. Pia soma...
  6. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025

    "Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini-...
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Barabara za Kimara, Mbagala zitapata Mabasi mapya ya Mwendokasi kati ya Februari au Machi 2025

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mradi wa Mabasi yaendayo Kasi unatarajia kupokea Mabasi mapya kuanzia mwezi wa Pili hadi wa Tatu mwaka 2025 Akizungumza leo Januari 2, 2025 amesema "Tayari kuna Mabasi yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Mabasi ya Mwendokasi yataanza kazi Mbagala Desemba 2024

    Wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akisema kuna mabasi 200 yaendayo haraka yanayoyotarajiwa kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia amesema hayo ni maelekezo ya...
  9. 2019

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwamba ajenga fremu kituo cha Mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
Back
Top Bottom