mwarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamwe: Simba ijifunze Kwa Yanga jinsi ya kumchapa Mwarabu

    Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi suluhisho limepatikana. wanatakiwa kujifunza Kwa yanga. Nini Simba wafanye? Kwa kuwa muda umeisha...
  2. M

    Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

    Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
  3. Simba ni Mnyama, mwarabu atapigwa Sambaroketo

  4. Viongozi wa Yanga sc kama mnataka tumpige mwarabu nyingi jumatano rekebisheni hapa

    Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa. Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi? Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na...
  5. Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

    Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki. Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC (...
  6. Unakufa kwa Mwarabu tarehe 16 Oktoba, 2022 na Unakufa vibaya kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022

    Anzeni sasa kujiandaa kulaumiana kwani leo kwa kujiamini kabisa GENTAMYCINE naandika hapa kuwa unafungwa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba, 2022 huko nchini Sudan, lakini unaenda kufungwa vibaya Tanzania kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022. Nikisema jambo hapa niamini 99.9%.
  7. DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    Habari Zenu Wakuu. Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya...
  8. Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

    Jamani kwema Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote), nchi kavu na angani Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢...
  9. Mwarabu hakuwahi kuweka National Park Tanzania, kwa nini?

    Walikuwepo miaka yote, walieneza Dini ya Uislamu na utamaduni wao ndicho pekee walichoacha, lakini kwa nini hawakuwahi kuunda National Park ?
  10. J

    Serikali yakutana na Mabalozi na Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro

    Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
  11. Hatimaye dawa ya Kenya kukwamisha Maendeleo Tanzania imepatikana rasmi!

    Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara tu baada ya Tanzania kutangaza kufuata mrengo wa kijamaa hapo mwaka 1967 na kilichofuata baada ya...
  12. J

    Baraka Shamte aliyefukuzwa CCM mbona sio Mwarabu kama baba yake Mohamed Shamte?

    Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed)...
  13. L

    Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

    Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
  14. M

    Yuko wapi Mohamed Ndolanga? Alishiriki kuuza ardhi ya Loliondo kwa mwarabu kipindi cha utawala wa Mwinyi. Damu ya wamasai ipo naye

    Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu 👇
  15. Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

    Kuna video imesambaa sana kwenye social network especially Twitter. Ambayo kwa mtu yoyote akiitazama kwakweli itamharibia siku. Katika video hiyo fupi ya dakika kadhaa inamuonyesha mwanadada wa kiafrika akiwa chini ya makalio ya mwanaume mwenye asili ya kiarabu, akipokea gogo (haja kubwa)...
  16. The Guardian: Wamasai kufukuzwa kupisha Mwarabu (UAE) kuwinda Wanyama!

    Haya waliokuwa wanasema kufukuzwa kwa Wamasai ni kwa ajili ya kutunza Hifadhi wako wapi? Kwa mujibu wa Gazeti la Mzungu wenu The Guardian sababu ya kuwaondoa Wamasai kwa nguvu ni kupisha Mwarabu wa Dubai kuwinda Wanyama. Magu (RIP) angekuwepo isingewezekana, angewatetea lazima! ----- Thousands...
  17. N

    USGN waishtaki Rs Berkane CAf kwa "zengwe" lao na mwamuzi Mwarabu mwenzao

    Duh kwa kweli aiseee jamaa full time unaambiwa walikuwa wanabonga kiarabu na huyo mmisri awapendelee wanajua wakiongea Kifaransa wa Niger watawasikia inanikumbusha yule aliyemtukana kanoute tusi zito kwa mama yake kwa kiarabu kumbe dogo anakijua akamla mtama wa nguvu.
  18. Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalam wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

    Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo. 1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
  19. Kilichomkuta Mwarabu aliyempiga kibao Sheikh Amri Abeid

    Shekhe Amri Abeid ni mmoja ya washairi maarufu Tanzania na Meya wa kwanza Mwafrika ambaye pia ni mwanafunzi mwenzake wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa wamesoma wote shule moja ya Tabora. Siku moja Moja Shekhe Amri Abeid akiwa na Shekhe Mubaarak walikuwa wakipita katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…