mwanamke

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kufanya vitu hivi kwa mwanamke wako lazima akudharau

    1.kuosha vyombo 2.kudeki ndani 3.kutandika kitanda 4.kupika 5.kuogesha mtoto 6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jina Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake kwa kukataa asisome sms kwenye simu yake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    #Repost @wasafifm —— Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya kuchelewa kurudi nyumbani. Tukio hilo limetokea mnamo tarehe Desemba 15, 2024 katika kata ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke Ukiona una 30s jaribu kutafuta wanaume mtaani kwenu

    30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
  4. JamiiForums Tanzania Jamaa anamjali demu wake lakini demu anasema hana hisia na jamaa

    Hii kitu imenishangaza sana kwa Hawa Viumbe. Mshikaji ana muhudumia Demu kwa Kila Kitu, jioni anamfuata Kazini, na asubuhi anampeka Kazini (Privet Car). Sasa Cha kushangaza Demu ananiambia "mi yule Bwana hata Sina hisia nae" mi nikajiongeza kumsemesha mambo ya mapenzi kajaa nimemvua chup...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hello Natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mambo mengine tutaongea akipatikana. Mimi naitwa John niko Dar kwasasa. Umri wangu miaka 35.
  7. JamiiForums Tanzania Siku za hatari kwa mwanamke

    Wakuu hivi mwanamke anakua danger days kwa sku ngap maan nimeambiwa atakua danger days had January. Je sipigwi kwel hapa?
  8. JamiiForums Tanzania Kamwe usimwamini Mwanamke, hata awe Dada yako wa tumbo moja

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri... Niende kwenye mada Kwa dunia ilipofika sasa usimwamini kiumbe anayeitwa mwanamke hata awe dadako wa kuzaliwa tumbo moja (labda kidogo mama mzazi japo naye usiweke 100% kwa hawa mama wa kizazi kipya) Nakumbuka kipindi flani nilikuwaga natoka kisirisiri na mke...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    kwema wa dada na mishangaz ya kati na maanisha wale wa 97 hadi 99, kama mada inavojieleza natafta mke mwenye tabia nzuri, mpole na mnyenyekevu pia mcha mungu. sifa hasiwe fake sana rang yeyote, mnene mwembamba ni sawa ila awe na makalio kidogo sio makubwa sanaaa.. kwenye swala la uchumi MIMI...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake Mwanamke kunyoa...
  11. JamiiForums Tanzania Unapomuomba namba mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake anakupotezea mpaka unajisemea

    Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀 Mwanamke akiwa anaenda au anatoka kwa mwanaume ampendaye ndugu yangu achana naye hatakusikiliza...
  12. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa binadamu anaweza akafa akiwa mwanaume ila katika re birth akawa mwanamke?

    Watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa. Katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi comment big persontalk with big person. Jesus alisema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa vitu...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke na Tashtiti Zangu naombeni Ukaribisho JF

    Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho. Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku. Naomba mnikaribishe na mnionyeshe pacha wangu Miss Natafuta
  14. JamiiForums Tanzania Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

    1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya 2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

    Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne. Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kuoa anahitajika, awe na Garden Love

    Wakuu kwema? Kuna ndugu yangu anatafta mwanamke wa kuoa lakini shart lake awe na garden love za kutosha. Nawasilisha.
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

    Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii ya takatifu. Kama mwanamke unajiona katika hali zifuatazo, pengine unapaswa kufikiria tena kabla ya...
  19. JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed Mwanamke Shujaa

    BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa. Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi. Labda kama isingekuwa Tamasha la Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mchengerwa na pengine wengi tusingefika Ikwiriri hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Maumivu ya kuachana na mwanamke

    Kabla sijaoa niliachana na wanawake kadhaa,ambao tulipendana sana nao,na niliumia sana moyoni.Wa kwanza ni Tana,ama nilimpenda sana lakini wakati huo kipato changu hakikuwa kikubwa,akachukuliwa na mkaka mmoja na akamtafutia kazi ya kujishikiza,aisee moyo uliniuma sana lakini ndio hivyo,hatahivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…