mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Njia ambazo mwanamke asiependeka huwa anazitumia kupata mwanaume mwema sana kisha anampiga matukio

    Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hapendeki. ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI HUWA ANAZITUMIA KUMPATA...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kukuheshimu kama hakuogopi

    Ni ngumu sana mwanamke kukuheshimu ukiwa mwema sana kwake. Mwanamke anamuhesmimu mwanaume anaemuogopa. Hapa siongelei physical appearance, violence au abuse. Am talking about the respect that stems from knowing you are a man of strength, principle and authority. Without that dynamic modern...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kwamba kipato cha Mwanamke kikiongezeka huwa chanzo cha kuonyesha dharau na kiburi?

    JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI? Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja. kwa uzoefu wangu nimewahi kukutana na wanawake wengi sana ambao wanakipato kikubwa sana, elimu,vyeo, umaarufu...
  5. JamiiForums Tanzania Yani mwanamke ukirudi nyumbani anajaribu kukuchunguza kwa kila aina ya sense aliyonayo bila wewe kujijua

    Women are smart, yooo. Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mwenye experience ya kudate na mwanamke anaemiliki pub?

    Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa. Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao kabla sijatoa maamuzi?
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

    Sio maneno yangu ni maneno ya mwanasaikolojia. Anasema mwanamke 30yrs hana jipya. Ametumika na wanaume wengi anatafuta pensheni na sio ndoa
  8. JamiiForums Tanzania Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  10. JamiiForums Tanzania Aina ya mwanamke anayekuwa entertained siku hizi ndio kirusi cha kumharibu huyo binti yako mdogo

    Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed. Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi, kuishi kwa scandal, kulamba pipi kijiti za wakubwa, kuhongwa na wanaume za watu then kupata connection...
  11. JamiiForums Tanzania Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama

    Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu mwingine mzalendo mwenye maarifa na jasiri kama Magufuli ili kuweza kugombea na kuchukua urais wa...
  12. JamiiForums Tanzania Msitafute mwanamke alietulia tafuteni mwanamke anaejiheshimu na kujitambua!.

    Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!. Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo...
  13. JamiiForums Tanzania Mpige katerero mwanamke wako, piga machine kama unaua nyoka, hela kwao ni kama mafuta ya kujipaka yanakauka shauri yenu

    Ndugu zangu salaam. Ukweli ni kwamba wanawake wanapenda sana dyudyu, wanataka papuchi zao zipigwe fimbo mpaka zimwage maji akose kabisa hata nguvu ya kukusongea ugali na akienda chooni au kujichamba aite jina lako huku anasukuma ukuta hapo ndipo atajiona yupo na mwanaume na wala siyo mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Nahisi nina bahati mbaya,kila mwanamke wa kitanzania ninaemkopesha pesa lazima anidhulumu

    Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi. So inapotokea mtu akanikopa akaja na sababu za kueleweka huwa siona tabu kukopesha hivi vilaki mbili au...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata hedhi ya siku 9

    Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie. Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed anaenda hadi siku 9 japo kuna kipindi huwa kawaida zinaishia 5, Swali lake je? hii hali ambapo...
  16. JamiiForums Tanzania Mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke

    Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume. Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
  17. JamiiForums Tanzania Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  18. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/ mwanamke

    Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga. Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema...
  19. JamiiForums Tanzania kuwekeza nguvu nyingi kwa mwanamke ni wastage of time

    Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,, Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa. Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…