mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Vitu vya kufanya mwanamke akupende

    Wakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana? Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

    Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia. Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe. Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni. Na wewe ndo utakae...
  3. JamiiForums Tanzania Imeandikwa katika kitabu cha kutoka 22:18"usimuache mwanamke mchawi akaishi"mbona wachawi ndio wanaishi muda mrafu kuliko watu wema?

    Hapo vip!! Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili. Mimi binafsi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia. Mimi binafsi naamini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

    Awe na sifa zifuatazo Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30 Awe Mkristo Awe tayari kupima hiv Awe anaishi dar es salaam Elimu bachelor ya kozi yeyote ile Sifa zangu Nina miaka 33 Kazi; duka kariakoo Sina mtoto Elimu bachelor
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao. Women lost their dignity because in our current generation there are no...
  8. JamiiForums Tanzania Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

    Haina haja ya salamu watu tupo busy. Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni Daktari Hosp moja kubwa hapa nchini. kisha akafanikiwa kuanzisha Disp yake. Ni mdada mrembo na...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke ambae hutumii kilevi chochote,nakusalimia

  10. JamiiForums Tanzania Madhara Ya Bawasiri Kwa Mwanamke

    Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri hujulikana kwa kitaalamu kama Hemorrhoids. Bawasiri inaweza kutokea ndani ya rektamu (bawasiri ya ndani)...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikwambia vaa condom, usikatae

    Mwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
  12. JamiiForums Tanzania RPC Ruvuma: Mwanamke Aliyekutwa Ofisi za TANESCO Hana Uhusiano na Uchawi, Ana Tatizo la Akili

    Hali ya gumzo imetanda kwa baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Songea mjini Mkoani Ruvuma baada ya Mwanamke mmoja katika Ofisi za Shirika la Umeme TANESCO Mkoani humo akiwa hana nguo huku baadhi ya Mashuhuda wakisema alianguka na ungo wa kichawi wakati akipita juu ya Ofisi hizo. Soma Pia: Apata...
  13. JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

    Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo. Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
  14. JamiiForums Tanzania Sioni mantiki yoyote mwanamke asiekuwa mwenzi wako wa ubani eti utumie zaidi ya tsh 10,000 kupata penzi lake

    Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000? Economic value ya kitu...
  15. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  16. JamiiForums Tanzania Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi?

    Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi? Hawapendi kudandiwa pale mwanaume unapotaka kufanya tendo na mkeo au mchumba usijaribu kumdandia bila kumuandaa mwanaume weka vikolezo koleza kwanza Mbusu. Nyonya ulimi lips. Maskio lamba shingo nyonya matiti papasa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  19. JamiiForums Tanzania Kafulila: Asilimia 90 ya kipato cha mwanamke hutumika kwa ajili ya familia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi. Akianza na ripoti...
  20. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

    Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake. Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…